Natafuta marafiki wafanyabiashara

Natafuta marafiki wafanyabiashara

manengelo, ukiweza kaa andika uzi wako vizuri. Weka uchanganuzi wa nini unachohitaji kwenye hiyo network, weka summary ya hatua uliyopo wewe kwenye hii business nk.

Hii itasaidia watu makini kujua aina ya mtu wanayetakiwa kuingia naye kwenye huo uhusiano wa kibiashara. Kwamba una kitu cha ku-offer? Au utakuwa mpokeaji tu?

Otherwise hapa utapata watu wa jokes tu, na walio serious hawaoni kama uko serious.
We umeongea bien , binafsi nataka nijue lengo lake ,nimuunganishe sehemu ,bado nasoma michango
 
mtu chake ..Sijajua huelewi nn ...mfano...nauza mahindi..nataka netwek ýa wauza mahindi..walioko sehemu tofauti2 Tz..hii niiteje...!..sijamaanisha nataka kupartiner na mtu..hapana..ni netwek tu..mbona mm kuna m1 ameona kuna fursa nilipo kuliko kwake??unafikiria niiwekeje...!.

Lengo langu mimi ni moja..kupata netwek za watu mbali mbali...hawa tutajuana wapi kuna ppm ziko juu au vip..!mbona uzi wngu kule juu umeelezea vzr kbs..!

After all nimepata😊😊..mdogo mdogo nitafika napopataka ...
 
mtu chake ..Sijajua huelewi nn ...mfano...nauza mahindi..nataka netwek ýa wauza mahindi..walioko sehemu tofauti2 Tz..hii niiteje...!..sijamaanisha nataka kupartiner na mtu..hapana..ni netwek tu..mbona mm kuna m1 ameona kuna fursa nilipo kuliko kwake??unafikiria niiwekeje...!.

Lengo langu mimi ni moja..kupata netwek za watu mbali mbali...hawa tutajuana wapi kuna ppm ziko juu au vip..!mbona uzi wngu kule juu umeelezea vzr kbs..!

After all nimepata[emoji4][emoji4]..mdogo mdogo nitafika napopataka ...
Ungecreate gruop la wasap ingekuwa vzur zaid. Tupia link watu wajoin
 
mtu chake ..Sijajua huelewi nn ...mfano...nauza mahindi..nataka netwek ýa wauza mahindi..walioko sehemu tofauti2 Tz..hii niiteje...!..sijamaanisha nataka kupartiner na mtu..hapana..ni netwek tu..mbona mm kuna m1 ameona kuna fursa nilipo kuliko kwake??unafikiria niiwekeje...!.

Lengo langu mimi ni moja..kupata netwek za watu mbali mbali...hawa tutajuana wapi kuna ppm ziko juu au vip..!mbona uzi wngu kule juu umeelezea vzr kbs..!

After all nimepata[emoji4][emoji4]..mdogo mdogo nitafika napopataka ...
Hahahaha ,nimeelewa Rafiki
 
Back
Top Bottom