Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
- Thread starter
- #141
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Honeypot × Sugarcube= sweet surrender
Hahahaha, asee nimelewa tena ,OK mie nachangia vile Naona yafaaWewe leo.umelewa..hahaa kama unaingia nakutoka vile...mara unieleww mara ujichetue[emoji28]
Hahahaha hy mbn bei nzuri ? Lubumbashi ni dola 35 ,ukienda wanakochimba unachukua chini ya hapo , International ( km sijakosea ni $ 41- 45 per gramu )Hivi kumbe dhahabu grm 1 ni pesa ndogo namna hiyo!??? sa hapo mpaka uje upate m10 si utapigika mno!!!
We umeongea bien , binafsi nataka nijue lengo lake ,nimuunganishe sehemu ,bado nasoma michangomanengelo, ukiweza kaa andika uzi wako vizuri. Weka uchanganuzi wa nini unachohitaji kwenye hiyo network, weka summary ya hatua uliyopo wewe kwenye hii business nk.
Hii itasaidia watu makini kujua aina ya mtu wanayetakiwa kuingia naye kwenye huo uhusiano wa kibiashara. Kwamba una kitu cha ku-offer? Au utakuwa mpokeaji tu?
Otherwise hapa utapata watu wa jokes tu, na walio serious hawaoni kama uko serious.
[emoji4]Tunao fuga kitimoto hatutakiwi hapa...
[emoji3]hivi mkoje nyie watu.??
Hahahaha, wa nahisi mtego ,ukizingatia juzi imetoka news kuhusu mauzo ya madini kupitia masoko yaliyofunguliwahivi mkoje nyie watu.??
HahahahaHoneypot × Sugarcube= sweet surrender
Duuh sio biashara ya kufanya hiyo naonaHahahaha hy mbn bei nzuri ? Lubumbashi ni dola 35 ,ukienda wanakochimba unachukua chini ya hapo , International ( km sijakosea ni $ 41- 45 per gramu )
Wataalamu watanisahiisha
Hahahaha, Mkuu mie nimechangia tu kile nachojua ndio maana nimeruhusu kusahihishwaDuuh sio biashara ya kufanya hiyo naona
Duuh sio biashara ya kufanya hiyo naona
Ungecreate gruop la wasap ingekuwa vzur zaid. Tupia link watu wajoinmtu chake ..Sijajua huelewi nn ...mfano...nauza mahindi..nataka netwek ýa wauza mahindi..walioko sehemu tofauti2 Tz..hii niiteje...!..sijamaanisha nataka kupartiner na mtu..hapana..ni netwek tu..mbona mm kuna m1 ameona kuna fursa nilipo kuliko kwake??unafikiria niiwekeje...!.
Lengo langu mimi ni moja..kupata netwek za watu mbali mbali...hawa tutajuana wapi kuna ppm ziko juu au vip..!mbona uzi wngu kule juu umeelezea vzr kbs..!
After all nimepata[emoji4][emoji4]..mdogo mdogo nitafika napopataka ...
Hahahaha ,nimeelewa Rafikimtu chake ..Sijajua huelewi nn ...mfano...nauza mahindi..nataka netwek ýa wauza mahindi..walioko sehemu tofauti2 Tz..hii niiteje...!..sijamaanisha nataka kupartiner na mtu..hapana..ni netwek tu..mbona mm kuna m1 ameona kuna fursa nilipo kuliko kwake??unafikiria niiwekeje...!.
Lengo langu mimi ni moja..kupata netwek za watu mbali mbali...hawa tutajuana wapi kuna ppm ziko juu au vip..!mbona uzi wngu kule juu umeelezea vzr kbs..!
After all nimepata[emoji4][emoji4]..mdogo mdogo nitafika napopataka ...
Ugumu uko wapi mkuu..fafanua vzr.Watoto wa mwadui tunawacheki tu,anyway biashara ya madini saiv ni ngumu mno,
sawa kiongoziHahahaha, Mkuu mie nimechangia tu kile nachojua ndio maana nimeruhusu kusahihishwa