Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Sijui jinsia yanguWewe ni ke au me?
kuwa wazi mkuu usibanebane mambo.Sijui jinsia yangu
mbona haupo friendly sasa unawezaje kupata marafiki kwa namna hii?Sijui jinsia yangu
Maisha kiujumlaUshauri positivu kwenye mada gan maana naweza nikakushauri tuwe double au tupige vyombo kupunguza stress na negativity wewe bado ukaona ni negative
mkuu nakutafuta sana!Ungetaja vigezo hapa ili wasikujazie PM
Nipo mkuu, karibuumkuu nakutafuta sana!
Jinsia haina shida ila Una tak?Sijui jinsia yangu
Pm yako haiko wazi fungua mkuu!Nipo mkuu, karibuu
Anajua kabisa unique flower ni mwanamke ila makusudi tumbona haupo friendly sasa unawezaje kupata marafiki kwa namna hii?
Sijawah funga PM mbona, cheki vzuriPm yako haiko wazi fungua mkuu!
UongoPm yako haiko wazi fungua mkuu!
Mbona inaeleweka mwenye ushauri chanya , na connection ya watu mbalimbali.Mkuu wewe ungeweka criteria zako kwanza ili ingemwezesha mtu kujua ana fiti au hafiti
ahaaa basi sawa mkuuAnajua kabisa unique flower ni mwanamke ila makusudi tu