Natafuta marafiki wenye ushauri positive nawahitaji

Natafuta marafiki wenye ushauri positive nawahitaji

Mimi humu sitafuti mpenzi .
Hiyo sekta imepitwa nawakati the thing is natafuta marafiki wenye kutoa ushauri positive na connection mbali mbali umtanisuta ila nao umri umefikia kuwa na marafiki wa kujenga nasio wakubomoa .

Kwa yeyote aliyetayari mnakaribishwa ila sio nijaze pm hapana only 2 ni wananitosha .
Age inamata pia .
Kuna vigezo naangalia ila sisemi hapa.
Nafikiri ungefafanua kidogo kuwa unapenda marafiki wa aina gani waweza kuwa wenye exposure ya Biashara, Kilimo, ufundi nk
Pengine na minimum Age kuepuka hao wa kuoa/olewa usio wahitaji; Above 40?
Na kama mambo ya shule yana kugusa , pengine kuanzia Dipl??
Pengine wawe wanywa kinywaji au La ( au haijalishi)
Wavuta sigara au la ( au haijalishi)
 
marafiki hawatafutwi manually ivo , watakuja wenyewe ikiwa mnaendana tabia/interests
 
Sawa Nitafute Kwenye namba zangu Mkuu.

Call: 0732000127 au 0620001300
 
Nafikiri ungefafanua kidogo kuwa unapenda marafiki wa aina gani waweza kuwa wenye exposure ya Biashara, Kilimo, ufundi nk
Pengine na minimum Age kuepuka hao wa kuoa/olewa usio wahitaji; Above 40?
Na kama mambo ya shule yana kugusa , pengine kuanzia Dipl??
Pengine wawe wanywa kinywaji au La ( au haijalishi)
Wavuta sigara au la ( au haijalishi)
Unajua unasema hivyo wakija unawachuja unabaki nahao waliokuridhisha na ndio maana bss wanaita watu wote wanapewa fulsa halafu wanaoimba vizuri wanachujwa hadi wapate mtu sahihi.
 
Urafiki bila pesa labda Jela.. "Alisikika muuza utumbo akisem.."

Mkuu wewe acha vigezo,,, chagua rafiki then muonane live mengine mtajua mkishaonana...
Vigezo vigezo vyako hvyo ndio utapata waigizaji..

Thank me later
 
Back
Top Bottom