Natafuta marafiki wenye ushauri positive nawahitaji

Natafuta marafiki wenye ushauri positive nawahitaji

Naimani ulipata haja ya moyo wako, ingawa navyofahamu me urafki utokea "automatic" bila kutafuta.

Lkn na iwe her ktka safar yako ya utafutaji
 
Mimi humu sitafuti mpenzi .
Hiyo sekta imepitwa nawakati the thing is natafuta marafiki wenye kutoa ushauri positive na connection mbali mbali umtanisuta ila nao umri umefikia kuwa na marafiki wa kujenga nasio wakubomoa .

Kwa yeyote aliyetayari mnakaribishwa ila sio nijaze pm hapana only 2 ni wananitosha .
Age inamata pia .
Kuna vigezo naangalia ila sisemi hapa.
Kuwa na rafiki n stage huwez pata rafiki wa toka nitoke au shida na raha ktk aina ya thread umepata siwez judge umri wako ila rafiki n mahusiano bnafsi sikatai njia uliotumia waweza kupata ila wengi tulio mitandaoni n ndgu ktk mwamvuli wa Tanzania

Swala la msingi n set ur standard nn wahitaji kwa rafiki na anza recruit ktk watu wako wa karbu huwez kupata perfect one lkn waweza pata anaekarbiana na vgezo vyako chukua deal nae kwa kuelekezana kuna ups and downs nyingi mtapitia lkn kumbuka hapo ndo mtakuwa mnajengeka na kuwa strong zaidi

Nje ya hapo mostly utapata marafiki wa kuchart na kubang tu life ako itabaki kuwa chini ya uwezo wako wa kuchakachua mambo

ALL DA BEST
 
Tatizo ujasema ushauri positive upande upi. Sio kila rafiki yako anaweza kuwa na positive attitude kwenye kila nyaja/swala.utakalo mwambia

Ushauri negative na positive ndo kitu gani? Kuna ushauri sincere/wa kweli! Sasa waweza uwe negative kutokana na hali ya mtu! Kweli elimu inasaidia!

Kumbukeni wanaume wenzangu, Masaji ni danguro lililochangamka, hapa tunapigwa kitu kizito kichwani ndugu zangu!
 
Kuwa na rafiki n stage huwez pata rafiki wa toka nitoke au shida na raha ktk aina ya thread umepata siwez judge umri wako ila rafiki n mahusiano bnafsi sikatai njia uliotumia waweza kupata ila wengi tulio mitandaoni n ndgu ktk mwamvuli wa Tanzania

Swala la msingi n set ur standard nn wahitaji kwa rafiki na anza recruit ktk watu wako wa karbu huwez kupata perfect one lkn waweza pata anaekarbiana na vgezo vyako chukua deal nae kwa kuelekezana kuna ups and downs nyingi mtapitia lkn kumbuka hapo ndo mtakuwa mnajengeka na kuwa strong zaidi

Nje ya hapo mostly utapata marafiki wa kuchart na kubang tu life ako itabaki kuwa chini ya uwezo wako wa kuchakachua mambo

ALL DA BEST
Rafiki ni rafiki ili mradi mnaelewana .
 
Mimi humu sitafuti mpenzi.

Hiyo sekta imepitwa na wakati the thing is natafuta marafiki wenye kutoa ushauri positive na connection mbali mbali umtanisuta ila nao umri umefikia kuwa na marafiki wa kujenga nasio wakubomoa.

Kwa yeyote aliyetayari mnakaribishwa ila sio nijaze pm hapana only 2 ni wananitosha.

Age inamata pia .

Kuna vigezo naangalia ila sisemi hapa.
ok [emoji1666]
 
Back
Top Bottom