Natafuta marafiki wenye ushauri positive nawahitaji

Mkuu mimi ni pusha, hatuwezi kutengeneza connection ukanisaidia kusukuma kete kadhaa za mmea?!
 
Marafiki wazuri wanatengenezwa na si kutafutwa waweza ona rafiki wa wenzako ni wazuri but kwako ni sumu.
NB: Ushauri Tengeneza marafiki Wa kweli kutoka kwa ulionao utanishukuru.
 
Urafiki bila pesa labda Jela.. "Alisikika muuza utumbo akisem.."

Mkuu wewe acha vigezo,,, chagua rafiki then muonane live mengine mtajua mkishaonana...
Vigezo vigezo vyako hvyo ndio utapata waigizaji..

Thank me later
Sijaweka vigezo
 
Kuna mambo katika maisha huwezi lazimisha.

1. Kupenda/kupendwa
2. Urafiki.

Vitu hivyo huwa wakati mwingine havipangiwi mazingira wala hali ni mambo yanayotokea automatically.

Wanaojielewa na kuwa na hiyo positive attitude wanajilinda na siyo kila sehemu ataingia tu ilimradi kaalikwa.

Ushauri wangu:

Fuatilia thread za watu unaowaona wako positive kisha tafuta namna ya kujenga nao ukaribu either kwa kuanza kuuliza maswali fulani kuhusu maisha au ushauri kuhusu jambo lolote la kujenga ila kwa kuweka uzi kama hivi utakutana na mabaharia.

Labda kama lengo lako ni tofauti na ulichokiweka.
 
Ila kweli
 
"Kumeibuka wimbi la watu toka sijui telegram sijui ni Badoo I don't know wanakuja kwa kasi sana" ..... Alisikika mpita njia mmoja akijisemea [emoji23]
 

Karibu mkuu
 
Nafasi za wazee zimejaa au? Kama bado nije inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…