Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

danmarc

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
575
Reaction score
146
Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO

Nawasilisha
 
Tuwasubiri hao wajuvi wa mambo waje kutupa connection za mashamba maana kwakweli natafakari hapa deni la taifa naona bora nikalime maana huko kwenye soko la ajira pameshabumba .. Shamba la chini ya mfereji ukipata ni baraka ndio maana kikwetu tunaita ''ghema sii ya mfongo '
 
kweli kabisa hizi ajira si za kutegemea ni vema kujaribu na upande wa pili
 
Kuna shamba lilikuwa linauzwa ruaha mbuyuni sijui kama limeshauzwa tayari au la. Ukubwa kama eka 40+, mashine na pump horsepower 24, mabomba yamechimbiwa chini kwa kiasi kikubwa cha shamba na kambi nzuri ya bati imesakafiwa ikiwa na vyumba viwili na store.

Eneo liko kando ya mto ruaha, km 20 toka ruaha mbuyuni ambapo kuna barabara ya Dar Tunduma. Barabara kiunganishi toka shamba hadi ruaha mbuyuni ni ya vumbi ila ipo katika hali nzuri ya kupitika misimu yote.
 
Niliwahi sikia maji ya mto huo ni hatari yana magadi hivyo yanaharibu sana mashamba ni kweli
 
Kanyaga twende kiongozi piga kazi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO

Nawasilisha
Kama bado hujapata nicheki. Nina heka 100 zipo Iringa wilaya ya kilolo.. njoo tuzungumze
 
Niliwahi sikia maji ya mto huo ni hatari yana magadi hivyo yanaharibu sana mashamba ni kweli
Kwa ujumla sehemu kubwa ya mto ruaha haina maji ya chumvi ila kuna mto mdogo unaitwa mwega ambao kuanzia mahali fulani unaingiza maji mto ruaha, una kiasi kidogo cha chumvi.
 
Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO

Nawasilisha
Hebu nitafute. Nna shamba Songea.
 
Back
Top Bottom