Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,913
- 2,662
Oky sawa sawa kwa ufafanuziKwa ujumla sehemu kubwa ya mto ruaha haina maji ya chumvi ila kuna mto mdogo unaitwa mwega ambao kuanzia mahali fulani unaingiza maji mto ruaha, una kiasi kidogo cha chumvi.