Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO

Nawasilisha
Kuna shamba la hekta 10 lipo karibu na bahari ya hindi, halina mmiliki. Nikupeleke weekend hii?
 
Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO

Nawasilisha
Akina Kikwete labda wawe wamekufa
 
Mwenye wito na kilimo, Njoo ujionee mwenyewe Tanga wiraya ya lushoto Kijiji cha Lunguza mashamba yapo maji mwaka mzima yapo , km 130 kutoka Tanga mjini
 
Attachments

  • IMG_20260602_122133.jpg
    IMG_20260602_122133.jpg
    514.8 KB · Views: 23
  • Screenshot_20260616-160957.png
    Screenshot_20260616-160957.png
    232.1 KB · Views: 25
Mwenye wito na kilimo, Njoo ujionee mwenyewe Tanga wiraya ya lushoto Kijiji cha Lunguza mashamba yapo maji mwaka mzima yapo , km 130 kutoka Tanga mjini
yanauzwaje huko
 
Kuna shamba lilikuwa linauzwa ruaha mbuyuni sijui kama limeshauzwa tayari au la. Ukubwa kama eka 40+, mashine na pump horsepower 24, mabomba yamechimbiwa chini kwa kiasi kikubwa cha shamba na kambi nzuri ya bati imesakafiwa ikiwa na vyumba viwili na store.

Eneo liko kando ya mto ruaha, km 20 toka ruaha mbuyuni ambapo kuna barabara ya Dar Tunduma. Barabara kiunganishi toka shamba hadi ruaha mbuyuni ni ya vumbi ila ipo katika hali nzuri ya kupitika misimu yote.
Huo utakuwa mto Lukosi sio ruaha
 
Mwenye wito na kilimo, Njoo ujionee mwenyewe Tanga wiraya ya lushoto Kijiji cha Lunguza mashamba yapo maji mwaka mzima yapo , km 130 kutoka Tanga mjini
Mgosi huko inaonekana ni pazuri,mashamba ya kukodi ni kiasi gani
 
Back
Top Bottom