dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,423
- 1,987
Nani kakuambia Sio Madini hayo?Tulikuwa tunaita madini
Enzi za utoto wetu
Au unaelewa nini ukiambiwa Madini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakuambia Sio Madini hayo?Tulikuwa tunaita madini
Enzi za utoto wetu
Ukumanyi kutuhi?Nenda Nyasa kuanzia Lituhi yapo mengi saaana.
Japo mtoa mada hajui anachotafuta, hivyo kupelekea Wadau kushindwa kujua mtoa mada anataka nini...
Na kwa vile mm pia ni mdau wa hizo mambo, nimeona niweke picha ya kile mtoa mada anataka.
View attachment 805022
Hiyo ndo CRYSTAL QUARTZ ambayo mtoa mada anatafuta!
Nukumanyi saaana. Haaaahaaaa. Kulituhi mpaka kumbamba bay.Ukumanyi kutuhi?
Unaweza Kunipa Mawasiliano Yako mzeenitafute baada ya wiki hata ukitaka tani mia nitakupa
My Bad Nilikosea kutizama picha Moja kwa Usahihi wakati natuma Ila Picha Moja ilikuwa sawaTanga Handeni yapo kwa wingi, kama ni ngumu, weka price mezani watu wakuletee...
Utami konoko? Nhe kumbambay nikumanyi sana, kwa vasokolo kumangu ni kutuhi.. Nilovi sana mbelele ni mbasa kufoklendi...Nukumanyi saaana. Haaaahaaaa. Kulituhi mpaka kumbamba bay.
nipo handeni, yapo mengi sanaTanga Handeni yapo kwa wingi, kama ni ngumu, weka price mezani watu wakuletee...
mkuu hayo mawe unanua kuanzia kiasi gani na bei gani? huku nilipo, yapo mengi kuzidi mawe yenyeweNi kama haya mzee
Ukinipa Kilo Tano nakupa Laki Moja.mkuu hayo mawe unanua kuanzia kiasi gani na bei gani? huku nilipo, yapo mengi kuzidi mawe yenyewe
mmmmhhh hiyo beiiiiiiiiiiiiiiiiiiUkinipa Kilo Tano nakupa Laki Moja.
Ndogo au Kubwa?mmmmhhh hiyo beiiiiiiiiiiiiiiiiii
ndogo sema kwahuyo aliesema yapo mengi kuliko mawe itamfaaaNdogo au Kubwa?
Ni kwelindogo sema kwahuyo aliesema yapo mengi kuliko mawe itamfaaa
Acha Uzuzu WeweUkinipa Kilo Tano nakupa Laki Moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu ulijua ni bonge la deal ??Acha Uzuzu Wewe
Jamaa aache uzuzu! yaani kilo tano anipe laki moja?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu ulijua ni bonge la deal ??
Jaribu Kuulizia Bei Official ya Hayo mawe Ni kiasi Gani kwa Kilo, Pia Unajua Kama Huuzwa Kwa Tani? Unajua Bei ya Tani Moja?Jamaa aache uzuzu! yaani kilo tano anipe laki moja?