Natafuta mawe yanayong'aa kama Kioo (quartz)

Japo mtoa mada hajui anachotafuta, hivyo kupelekea Wadau kushindwa kujua mtoa mada anataka nini...
Na kwa vile mm pia ni mdau wa hizo mambo, nimeona niweke picha ya kile mtoa mada anataka.
IMG_20180708_120219.jpg

Hiyo ndo CRYSTAL QUARTZ ambayo mtoa mada anatafuta!
 
Japo mtoa mada hajui anachotafuta, hivyo kupelekea Wadau kushindwa kujua mtoa mada anataka nini...
Na kwa vile mm pia ni mdau wa hizo mambo, nimeona niweke picha ya kile mtoa mada anataka.
View attachment 805022

Hiyo ndo CRYSTAL QUARTZ ambayo mtoa mada anatafuta!

Tanga Handeni yapo kwa wingi, kama ni ngumu, weka price mezani watu wakuletee...
 
Hapa Nyakakika ya Bushangaru yanapatikana kwa wingi sana
 
Back
Top Bottom