Natafuta mchumba ambaye alishawahi kuolewa akaachika

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
mimi ni kijana mwenye miaka 36 ninaishi dar. natafuta mchumba ambaye ametoka kwa bwana. nataka yule aliyeshindwa maisha ya ndoa.
sichagui dini wala kabila lakini asiwe amejichubua, ufupi usizidi cm 155, awe anaishi dar, umri usiwe chini ya miaka 25 na usizidi 33, asiwe anapenda mawigi na kujibandika mirangi usoni. inabidi awe simple.
kama upo jf basi nipm tutafutane. kama upo upo nje ya jf basi niinbox kuptia figganigga@jamiiforums.com. karibu sana. mia
 
Aya weeeeeeeeee! Nimekosa bahati hii mm, Duh! Mimi nimezidi hapo inaruhusiwa?
 
figganigga kweli mwaka huu umeamua mwendo wa vitu natural sio?? sasa umri wako umenitisha lol! kila la heri mdogo wangu.
 
Last edited by a moderator:

hapo kwenye umri wake pameniwacha hoi...
Nimeku miss sana dada. Pole kwa matatizo
 
niandike umri kwa kirumi ndo hautaogopa?. nina miaka thelathini na sita. just nipm kama upo interested. naamin ntafanikiwa. asante dada yangu halafu pole kwa matatizo. 😛oa: mia
 
asante sana mdogo wangu, maisha ndivyo yalivyo wangu, wewe ukipanga mwenye nguvu anapangua, ukitamani mazuri na mabaya pia unapewa.

nimeishia kusema nitegemee mema tu toka kwa Mungu na mabaya je yasinipate??

naona MIA kaamua huu mwaka lazima nicheze begi party lol!
 
Nilikuwa naaanisha umri unaotaka mm nimezidi, je naruhusiwa kuapply?

umezidi miezi mingapi? je wewe mlefu sababu sitaki mwanamke ambaye nikitaka kumbusu hadi niiname. mia
 
asante sana mdogo wangu, maisha ndivyo yalivyo wangu, wewe ukipanga mwenye nguvu anapangua, ukitamani mazuri na mabaya pia unapewa.

nimeishia kusema nitegemee mema tu toka kwa Mungu na mabaya je yasinipate??

naona MIA kaamua huu mwaka lazima nicheze begi party lol!
madam b nae kafunguka mwaka huu dada unalo huku beg party kule kitchen party! andaa kadi cha michango
 
niandike umri kwa kirumi ndo hautaogopa?. nina miaka thelathini na sita. just nipm kama upo interested. naamin ntafanikiwa. asante dada yangu halafu pole kwa matatizo. 😛oa: mia

hahahah! kumbe mwenzangu chumvi umekula sana sio?? anyways asante kwa salam za pole. nipo bado najione mauza uza tu
 
Wala makombo hutawasahau ILA HAINA SHOMBO ,kesha tendwa huyu
 
madam b nae kafunguka mwaka huu dada unalo huku beg party kule kitchen party! andaa kadi cha michango

hhhahahahah!..................kweli mwaka umeanza vyema sasa...........haya itabaidi tuwe na kamati za sherehe za harusi za MMU sasa.
 
Back
Top Bottom