Natafuta mchumba ambaye alishawahi kuolewa akaachika

ila mwanaume miaka 36 hujawai kuoa si utakuwa umemega sana wewe?
hapa kabila zote utakuwa umeshavisit naona...sipo tayari kula kitu used na majority namna hiyo
kama vipi, punguza miaka yako ...ulete mahari
 
Muanzisha sredi inabidi kuweka bayana kama unaye mwenza mwingine au huna, halafu ukijaaliwa kumpata utafanya yapi ili kuhakikisha hashindwi tena maisha ya ndoa akiwa nawe?
 
umezidi miezi mingapi? je wewe mlefu sababu sitaki mwanamke ambaye nikitaka kumbusu hadi niiname. mia

Hahahahahaahaha! loh , Naona Mimi utapiga magoti kabisaaaaaaa! maana naona ni ile mbegu ya baba thao si thithi thithi!
 
Muanzisha sredi inabidi kuweka bayana kama unaye mwenza mwingine au huna, halafu ukijaaliwa kumpata utafanya yapi ili kuhakikisha hashindwi tena maisha ya ndoa akiwa nawe?
mfupa uliomshinda fisi binadamu atauwezea wapi mkuu? huyu ni muzee wa mia kaa mbali
 
umeona eeeh yaani ni hao hao wanatafutana

hata mm nimehisi hivyo lol! sasa basi wasitucheleweshe kula ubwabwa tuna hamu nao toka xmass atujala pilau wenzenu fanyeni mambo mniweke mm kuwa mwenyekiti wa kamati ya maandilizi mwone mtakavyopendeza.
 
mi matron wa kichen party
 
Sory why unataka aliyeachika,please nijibu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hahahahahaahaha! loh , Naona Mimi utapiga magoti kabisaaaaaaa! maana naona ni ile mbegu ya baba thao si thithi thithi!

mbona wapo wapale walefu tu!?. kama wewe mfupi jaribu tena baadae!. mia
 
Muanzisha sredi inabidi kuweka bayana kama unaye mwenza mwingine au huna, halafu ukijaaliwa kumpata utafanya yapi ili kuhakikisha hashindwi tena maisha ya ndoa akiwa nawe?

sina mwingine. hayo mengine ni mipango ya wawili.
 
Sory why unataka aliyeachika,please nijibu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

anajua maisha ya ndoa. yaani ana uzoefu ndo maana hata makazini wanataka watu wazoefu zaidi ya mwaka mmoja. mia
 
mimi ni kijana mwenye miaka 36 ninaishi dar. natafuta mchumba ambaye ametoka kwa bwana. nataka yule aliyeshindwa maisha ya ndoa.
sichagui dini wala kabila lakini asiwe amejichubua, ufupi usizidi cm 155, awe anaishi dar, umri usiwe chini ya miaka 25 na usizidi 33, asiwe anapenda mawigi na kujibandika mirangi usoni. inabidi awe simple.
kama upo jf basi nipm tutafutane. kama upo upo nje ya jf basi niinbox kuptia figganigga@jamiiforums.com. karibu sana. mia

Dah..hii whiteparty imeleta kizaazaa.. nimekupm japo sifa sina zote pengine utanifikiria
 
hii haina kufikiria mtu. wa kwanza mwenye vigezo ndo anachukuliwa. ukiona kimya ujue haujakubaliwa. mia
 
Back
Top Bottom