Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
mimi ni kijana mwenye miaka 36 ninaishi dar. natafuta mchumba ambaye ametoka kwa bwana. nataka yule aliyeshindwa maisha ya ndoa.
sichagui dini wala kabila lakini asiwe amejichubua, ufupi usizidi cm 155, awe anaishi dar, umri usiwe chini ya miaka 25 na usizidi 33, asiwe anapenda mawigi na kujibandika mirangi usoni. inabidi awe simple.
kama upo jf basi nipm tutafutane. kama upo upo nje ya jf basi niinbox kuptia figganigga@jamiiforums.com. karibu sana. mia
Nakushauri utafute pia na yule ambaye alishawahi kuachika akaolewa kwa sababu naye atakuwa ana-qualify kufuatana na condition uliyoitoa!