mimi ni kijana mwenye miaka 36 ninaishi dar. natafuta mchumba ambaye ametoka kwa bwana. nataka yule aliyeshindwa maisha ya ndoa.
sichagui dini wala kabila lakini asiwe amejichubua, ufupi usizidi cm 155, awe anaishi dar, umri usiwe chini ya miaka 25 na usizidi 33, asiwe anapenda mawigi na kujibandika mirangi usoni. inabidi awe simple.
kama upo jf basi nipm tutafutane. kama upo upo nje ya jf basi niinbox kuptia figganigga@jamiiforums.com. karibu sana. mia
figganigga mzee wa mia, umekula chumvi nyingi nawe anyways ngoja nijiweke sawa, achana na Smile andunje. Yani mimi naona Madame B fits in like glove..... don't worry maexperience sio lazima uolewe uachike, lol lazima JF mwaka huu wale harusi tudaaah mimi nina cm 154
kidogo ningekupata
hii haina kufikiria mtu. wa kwanza mwenye vigezo ndo anachukuliwa. ukiona kimya ujue haujakubaliwa. mia
ningekupata wewe ningefurahi. miafigganigga mzee wa mia, umekula chumvi nyingi nawe anyways ngoja nijiweke sawa, achana na Smile andunje. Yani mimi naona Madame B fits in like glove..... don't worry maexperience sio lazima uolewe uachike, lol lazima JF mwaka huu wale harusi tu
haraka haraka haina baraka, kwani nmekuambia deadline ishafika?. pm ni nyingi zamu yako ikifika utaona pm mwezi ukiisha hujaona kitu jihesabu umekosa. miaBasi ndo nishakosa hivo..mpka sahiz kimya..ngoja na mimi niibuke na uzi wangu..
haraka haraka haina baraka, kwani nmekuambia deadline ishafika?. pm ni nyingi zamu yako ikifika utaona pm mwezi ukiisha hujaona kitu jihesabu umekosa. mia
mimi ni kijana mwenye miaka 36 ninaishi dar. natafuta mchumba ambaye ametoka kwa bwana. nataka yule aliyeshindwa maisha ya ndoa.
sichagui dini wala kabila lakini asiwe amejichubua, ufupi usizidi cm 155, awe anaishi dar, umri usiwe chini ya miaka 25 na usizidi 33, asiwe anapenda mawigi na kujibandika mirangi usoni. inabidi awe simple.
kama upo jf basi nipm tutafutane. kama upo upo nje ya jf basi niinbox kuptia figganigga@jamiiforums.com. karibu sana. mia
gongo isesomesha watu hadi chuo kikuu. sio kila thread uchangie. heshima yako inashuka. miawanawake weng wauza gongo wameachika.wafuate hao ful burudan.
gongo isesomesha watu hadi chuo kikuu. sio kila thread uchangie. heshima yako inashuka. mia
niandike umri kwa kirumi ndo hautaogopa?. nina miaka thelathini na sita. just nipm kama upo interested. naamin ntafanikiwa. asante dada yangu halafu pole kwa matatizo. 😛oa: mia
Hahahahahaha.mia
eh ningejitokeza ila the gud news ni kuwa sijawahi kuolewa au kushindwa ndoa, which disqualifies me otherwise ningekua shakuinbox kitambo sana
utakua mbea we mtoto!. mia
wewe unafaa. lakini ntakupa sharti la kunyoa hizo dred kama utakubali..hahahahaaaa...!!!..hapo najua utasema bora nisiolewe!. miafigganigga mie hunitoi nje bila kupaka mekapu...mkorogo ni wangu (si unakumbuka zile soksi nyeusi) ila vingine vyote nakwolifai! angalia piiemu mchumba!