Natafuta mchumba ambaye alishawahi kuolewa akaachika

sasa kaka hata kama ameachika kwa umalaya wewe twende kazi au kuachika kwa mazingila gani?jiweke wazi au unataka mjane?
Mimi ndo ntamtuliza. siwezi kumhukumu mtu kwa kosa la mtu mwingine. je kama alisingiziwa au kajirekebisha?. tungekua tunaangalia sifa hizo tungekua tunaoa mabikra tu. mia
 
wewe unafaa. lakini ntakupa sharti la kunyoa hizo dred kama utakubali..hahahahaaaa...!!!..hapo najua utasema bora nisiolewe!. mia

wewe utakuwa umechanganya mambo.
dred ziko wapi?
 
Umefanya maamuzi sahihi Mkuu! Mke mwema anatoka kwa bwana. Kwahiyo aliyeachika ndio sahihi kabisa!
 
Umefanya maamuzi sahihi Mkuu! Mke mwema anatoka kwa bwana. Kwahiyo aliyeachika ndio sahihi kabisa!
Ni kweli mke mwema anatoka kwa bwana. Mpe hi! marejesho. mia
 
Last edited by a moderator:
mi ninasifa zote hizo but una wallet ya kutosha? kama unazo nijibu nikupe namba fasta au nikuinbox
 
Hahaha mume si huyu nimempata.ni inbox namba yako.shart nataka mwanaume muhongaj
 
Hahaha mume si huyu nimempata.ni inbox namba yako.shart nataka mwanaume muhongaj

oya mi nataka mke wa kuoa si wa kuhonga. hao madogo hapo juu wakina Paloma tunataniana. mia
 
Last edited by a moderator:
oya mi nataka mke wa kuoa si wa kuhonga. hao madogo hapo juu wakina Paloma tunataniana. mia

hivi kumbe tunaweza kukupeperushia ndege wako.............kwa utani eeenh! haaa nalog off. mia mbili na kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…