Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

Si kwa ubaya lakini, Hivi hujui kwamba WANAUME kaulimbiu yetu ya sasa ni KATAA NDOA KWA AFYA YA MWILI NA AKILI?
 
Wewe huna mbambamba, cha muhimu unataka mwanaume😂, hujataka ooh maji ya kunde
 
Hizi ndio red flags zenyewee🚩🚩🚩🚩🚩
Mabaharia nendeni PM ila kichwani patupu hapa
Mimi kama kichwa kitupu siwez kukaa kimya wacha nkujib kaka.. Achana na hizi elimu tulizonazo skuiz diproma sjui degree angalia ndoa za mama zetu wa zamani waliokua wakiolewa hawajui kusoma Wala kuandika compare na zetu tunaojiita wasomi wenye degree zipi zinadumu ? ukipata jibu kichwa kitupu niko palee njoo unijibu ..Ukitaka kuoa angalia mwanamke mwenye akili yakimaisha bro.
 
mke ndiye humtengeneza mume kuwa bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…