Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

Weka namba ya simu wadau wachangamkie fursa
 
Kupata mume bora inategemea ni jinsi gani uivyojitunza kweny ujana wako,kama ulikuwa mtulivu tu basi MUNGU BABA atakupa mtulivu ila kama ndo wale wale imekula kwako
 
Hakuna Mume bora,ila kwa kumjenga wewe ili awe mume bora,hata kama utamlinda ili awe unavyotaka,bila ya kufanya yale yatakayo msaidia kuwa bora.kulingana na ndoto zenu tena sio zako,ila ndoto za kukaa kupanga kuridhiana na kukubaliana.Na sii zile za kutaka kuishi maisha ya kuigiza,kwa kuangalia rafiki zako,ndugu au maisha ya wanaowazunguka.🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…