pinkpink
Member
- Feb 2, 2013
- 75
- 31
mimi ni msichana, natafuta mpenzi wa kweli, sitaki longolongo, awe amesoma anahold degree au masters, awe mweusi kidogo, mtanashati, awe anapenda mpira wa miguu kucheza asiwe na kitambi, awe alisoma masomo ya science sekondary.awe uptodate..asiwe mshamba mshamba, ajue kupenda kwa dhati. Awe na umri wa miaka 28 hadi 35.mimi kwa muonekano nipo kama flaviana matata. Nimesoma chuo kikuu. Nafanya kazi binafsi. Ni PM kama upo serious.