natafuta mchumba anajielewa

natafuta mchumba anajielewa

pinkpink

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
75
Reaction score
31
mimi ni msichana, natafuta mpenzi wa kweli, sitaki longolongo, awe amesoma anahold degree au masters, awe mweusi kidogo, mtanashati, awe anapenda mpira wa miguu kucheza asiwe na kitambi, awe alisoma masomo ya science sekondary.awe uptodate..asiwe mshamba mshamba, ajue kupenda kwa dhati. Awe na umri wa miaka 28 hadi 35.mimi kwa muonekano nipo kama flaviana matata. Nimesoma chuo kikuu. Nafanya kazi binafsi. Ni PM kama upo serious.
 
Enh dada kama unakimbizwa?!! Hebu tafuta sehemu kivulini chukua soda baridi ntailipia then uandike taratibu. Lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hayo masharti ni magumu sana kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano, kati ya wanaume trilioni 1 duniani unanaweza kubahatisha mmoja tu nae akawa na kasuro kwenye ulaji wa tunda, lakini kwa hapa jf ukimpata mimi najitolea kulipia mahali na nyumba juu!

Hivi Flaviana Matata nae ni mzuri wa mfano wa kutaftia mme?
 
bado sana wewe kuolewa na huenda ukaishia hivyo hivyo na vijigezo vyako visivyo vya mapenzi!!!
 
Hayo masharti ni magumu sana kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano, kati ya wanaume trilioni 1 duniani unanaweza kubahatisha mmoja tu nae akawa na kasuro kwenye ulaji wa tunda, lakini kwa hapa jf ukimpata mimi najitolea kulipia mahali na nyumba juu!

Hivi Flaviana Matata nae ni mzuri wa mfano wa kutaftia mme?

ni muonekano tu sijasema uzuri nielewe
 
Uptodate ndio kuwaaje? Acha kuzingua watu wewe! Eti kama Flaviana Matata, una maan huwezi kujizungumzia wewe mwenyewe?
 
viwango vyako bado havijathibitishwa na TBS, jaribu kurekebisha makosa.

Anyway kama una nia ya mchumba tu wapo jee na wao utawakubalia wanayoyataka?

Mungu akusaidie na akupe atakaekuridhisha na wewe umridhishe na muishi milele
 
may kuna mwanaume unayem-discribe...nakushauri umtokee tu usione soo, sema naye
 
Mimi vigezo vyote ninavyo,ila siwezi kuoa mke kama wewe Mbululaaa,sasa ndio umeandika nini?who is Flavian?wat is degree unaonekana maskini wa mfukoni hadi akili

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mimi ni msichana, natafuta mpenzi wa kweli, sitaki longolongo, awe amesoma anahold degree au masters, awe mweusi kidogo, mtanashati, awe anapenda mpira wa miguu kucheza asiwe na kitambi, awe alisoma masomo ya science sekondary.awe uptodate..asiwe mshamba mshamba, ajue kupenda kwa dhati. Awe na umri wa miaka 28 hadi 35.mimi kwa muonekano nipo kama flaviana matata. Nimesoma chuo kikuu. Nafanya kazi binafsi. Ni PM kama upo serious.

1. Awe amesoma anahold degree au masters: Wewe umesoma mpaka wapi (unahold nini)?
2. Awe mweusi kidogo, mtanashati: Tupe rangi yako, je wewe ni mrembo?
3. Awe anapenda mpira wa miguu kucheza asiwe na kitambi:
Una maanisha mcheza mpira kama Ngasa, Boban, Jerry Tegete? Au unamaanisha awe anacheza kama part ya mazoezi? Vipi wewe unacheza mchezo gani?
4. Awe alisoma masomo ya science sekondary: Wewe umesoma masomo gani Sekondary?
5. Awe na umri wa miaka 28 hadi 35: Wewe una umri gani?
6. A
we uptodate..asiwe mshamba mshamba: We ni mjanja?
7. A
jue kupenda kwa dhati: Wewe unajua kupenda? Ulishawahi kupenda, tupe uzoefu wako.

Taja kwanza wasifu wako kwa kujibu maswali hayo hapo juu na mengine kama chuo gani na kozi gani umefanya, unafanya kazi wapi (au kipato chako kiko vipi).

Jifunze kuandika bila papara.
 
Stereotype:wenye vitambi wachovu kitandani, wachezaji mpira wana stamina sana kitandani. . . .
 
Mh! Diamond katoa single nyingine!!
 
Back
Top Bottom