Natafuta mchumba asiye na uwezo wa kupata watoto

Natafuta mchumba asiye na uwezo wa kupata watoto

3500

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
54
Reaction score
103
Habari ya kwenu. Natafuta mchumba wa kuoa mwenye vigezo hivi.

Mwenye umri miaka 40 kwenda juu
Jinsia mwanamke
Mkristo
Asiye na uwezo wa kuwa na watoto
Mwenye tabia nzuri. Ukiwa na tabia mbaya hatutadumu kwenye mahusiano.

Anayejaza vigezo hivyo Ani PM namba yake
 
Kapige nyeto na picha ya wena sepetu itakuwa na vigezi vyote ulivyo taja mkuu
 
Kwahiyo ulivyoandika hivyo, unategemea update ni I, likes au? Aisee tanzania changamoto ya afya ya akili ni kubwa
Ujinga ulioandika hiyo ndyo reaction yake mtu mzima hovyoo ukitaka hivyo tumia mda wako kufanya kazi Kwa bidii sio udili na wanawake
 
Back
Top Bottom