Natafuta mchumba asiye na uwezo wa kupata watoto

Natafuta mchumba asiye na uwezo wa kupata watoto

Ujinga ulioandika hiyo ndyo reaction yake mtu mzima hovyoo ukitaka hivyo tumia mda wako kufanya kazi Kwa bidii sio udili na wanawake
Sasa kuifanya kazi kwa bidii inaingiaje hapa, hehe again changamoto ya afya ya akili upande wako
 
Habari ya kwenu. Natafuta mchumba wa kuoa mwenye vigezo hivi.

Mwenye umri miaka 40 kwenda juu
Jinsia mwanamke
Mkristo
Asiye na uwezo wa kuwa na watoto
Mwenye tabia nzuri. Ukiwa na tabia mbaya hatutadumu kwenye mahusiano.

Anayejaza vigezo hivyo Ani PM namba yake

What do you have to offer? Ndo maana Jitu zima mpaka leo halina mke, huwezi jieleza?
 
Sasa kuifanya kazi kwa bidii inaingiaje hapa, hehe again changamoto ya afya ya akili upande wako
Mi nko sawa akili Iko more reactive sababu I'm stronger man wew unaonyesha udhaifu sana Sasa mwanamke asiye zaa wanin,
Kama huwezi kuunganisha damu ni ngumu kupata upendo wa kwel
Hata uyo mwanamke hatokuwa interested nawew sababu hakuna jambo litawafanye hisia zenu za ndani kuwa pamoja
Tambua ILO mkuu
 
Huyu hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20250217_214304.jpg
    Screenshot_20250217_214304.jpg
    167.9 KB · Views: 2
Na mimi nataka mgumba mwanamke mwenye miaka 30 au chini ya umri huo.Nipo serous
 
ata mie jamani natafuta mwanamke asie zaa tuihi tule bata maldive na kina hamisa na aziz ki
 
Back
Top Bottom