Stephen curry
Member
- Jun 1, 2018
- 21
- 23
Sifa zote ninazo, ila nina miaka 26 na siku 275.. je nimekizi vigezo pendwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona anayapita tu,Maswali kama haya huwa hawajibu
Desperate woman.....lazima awe mpole [emoji12]Unajibu kwa busara Sana, Vijana, wife material ndo huyo!
Ni mtazamo wako tu nadhani. JF where we dare to talk openlyDesperate woman.....lazima awe mpole [emoji12]
kweli mkuu inawezekana.....ila hawa viumbe ni pretenders sana wakiwa kwa mission[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ni mtazamo wako tu nadhani. JF where we dare to talk openly
Hahahahaha Haya bhanakweli mkuu inawezekana.....ila hawa viumbe ni pretenders sana wakiwa kwa mission[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23][emoji23] ..Desperate woman.....lazima awe mpole [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aisee!!!Aiseee worry out utapata hitaji lako, unaonekana upo smart and humble
na masharti atalegeza tu.....time will tell[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23] ..
Wacha wadau wafanye rescue mission Mkuu.... Au hutaki familia ya JF iongezekena masharti atalegeza tu.....time will tell[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nani humu ana vigezo lundo hivyo[emoji2] [emoji2] [emoji2] .....labda afanye compromise ya vigezo vingine.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....kuna masharti kama job description ya kazi kwa mchina [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wacha wadau wafanye rescue mission Mkuu.... Au hutaki familia ya JF iongezeke
Usiogope vigezo Mkuu.... Kama umemuelewa nenda PM mkayajenge. Hivi vitu havina formula sometimes vinachanganya sanaNani humu ana vigezo lundo hivyo[emoji2] [emoji2] [emoji2] .....labda afanye compromise ya vigezo vingine.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....kuna masharti kama job description ya kazi kwa mchina [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
hapana mkuu mimi sijamuelewa na imani pia nae hajanielewa[emoji12] [emoji12]Usiogope vigezo Mkuu.... Kama umemuelewa nenda PM mkayajenge. Hivi vitu havina formula sometimes vinachanganya sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa Mkuuhapana mkuu mimi sijamuelewa na imani pia nae hajanielewa[emoji12] [emoji12]
Weka picha mama isijekuwa wewe ni bibi bomba maana kwa umri wako na elimu hiyo inaonyesha umekomaa sanaHabari,
Mimi ni mwanamke wa kitanzania,natafuta mchumba atakayekua mume.
Wasifu wangu:_
Umri wangu ni miaka 30
Mkristu-RC(Mcha Mungu)
Nina Degree ya kwanza(kuna plani ya kujiendeleza)
Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu)
Nina umbo la kiafrika,(size 6/8,58-60Kgs),rangi yangu ni maji kunde(natural)
Urefu wa wastani 5’5”
Mimi ni mtu
-Ambitious
-kind hearted
-loves to learn
-Loves to help
-loves to cook
-Nerd
-Adventurous
-I enjoy outdoor activities (beach/yoga)
-Mpole
-Confident
- A very happy person
Niko tayari kusettle na kuanzisha familia.Naamini ndoa sio mwanzo wala mwisho bali ni muendelezo wa maisha with minor adjustments to accommodate the new person.
wasifu wa mchumba mtarajiwa
-Mcha Mungu
-mkristu(sio mlokole)
-Umri 27-36 yrs old
-Awe na Degree moja au zaidi
-Awe ameelimika(intellect)
-Open minded
-Urefu wake 5’8” au zaidi
-Awe na furaha
-Awe mkweli na mwaminifu
-Asiwe mlevi
-Awe na mwili wa wastani(bila kitambi-otherwise,awe tayari kuambata na na mimi gym 😵)
-Awe anajiweza kiuchumi(sijamaanisha tajiri,ila katika umri tajwa natumaini atakua amepiga hatua flani)
-Asiwe na itikadi kali za kisiasa
-Apende maisha na afurahie kuishi.
-Asivute sigara/ganja/pariki/ugoro etc
-HIV negative
Atakayeona tunafaana(kulingana vigezo tajwa ) karibu PM.
Mbarikiwe.