Natafuta mchumba(future husband)

Natafuta mchumba(future husband)

Status
Not open for further replies.
ukiongeza mwenye nguvu za kiume utanshtua
 
Wacha wadau wafanye rescue mission Mkuu.... Au hutaki familia ya JF iongezeke
Nani humu ana vigezo lundo hivyo[emoji2] [emoji2] [emoji2] .....labda afanye compromise ya vigezo vingine.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....kuna masharti kama job description ya kazi kwa mchina [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Nani humu ana vigezo lundo hivyo[emoji2] [emoji2] [emoji2] .....labda afanye compromise ya vigezo vingine.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....kuna masharti kama job description ya kazi kwa mchina [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Usiogope vigezo Mkuu.... Kama umemuelewa nenda PM mkayajenge. Hivi vitu havina formula sometimes vinachanganya sana
 
Usiogope vigezo Mkuu.... Kama umemuelewa nenda PM mkayajenge. Hivi vitu havina formula sometimes vinachanganya sana
hapana mkuu mimi sijamuelewa na imani pia nae hajanielewa[emoji12] [emoji12]
 
Habari,

Mimi ni mwanamke wa kitanzania,natafuta mchumba atakayekua mume.

Wasifu wangu:_

Umri wangu ni miaka 30

Mkristu-RC(Mcha Mungu)

Nina Degree ya kwanza(kuna plani ya kujiendeleza)

Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu)

Nina umbo la kiafrika,(size 6/8,58-60Kgs),rangi yangu ni maji kunde(natural)

Urefu wa wastani 5’5”

Mimi ni mtu
-Ambitious
-kind hearted
-loves to learn
-Loves to help
-loves to cook
-Nerd
-Adventurous
-I enjoy outdoor activities (beach/yoga)
-Mpole
-Confident
- A very happy person

Niko tayari kusettle na kuanzisha familia.Naamini ndoa sio mwanzo wala mwisho bali ni muendelezo wa maisha with minor adjustments to accommodate the new person.

wasifu wa mchumba mtarajiwa

-Mcha Mungu
-mkristu(sio mlokole)
-Umri 27-36 yrs old
-Awe na Degree moja au zaidi
-Awe ameelimika(intellect)
-Open minded
-Urefu wake 5’8” au zaidi
-Awe na furaha
-Awe mkweli na mwaminifu
-Asiwe mlevi
-Awe na mwili wa wastani(bila kitambi-otherwise,awe tayari kuambata na na mimi gym 😵)
-Awe anajiweza kiuchumi(sijamaanisha tajiri,ila katika umri tajwa natumaini atakua amepiga hatua flani)
-Asiwe na itikadi kali za kisiasa
-Apende maisha na afurahie kuishi.
-Asivute sigara/ganja/pariki/ugoro etc
-HIV negative

Atakayeona tunafaana(kulingana vigezo tajwa ) karibu PM.

Mbarikiwe.
Weka picha mama isijekuwa wewe ni bibi bomba maana kwa umri wako na elimu hiyo inaonyesha umekomaa sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom