Natafuta mchumba/mume wa kuanza naye maisha ya ndoa

Natafuta mchumba/mume wa kuanza naye maisha ya ndoa

Jshawa

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
5
Reaction score
5
Naitwa Janeth Shawa miaka 29, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya kweli umri kati ya miaka 29 mpaka 40 ambaye yupo tayari kuingia kwenye ndoa,Ambaye hana mke,akiwa na mtoto au watoto sio tatizo,Awe mtanzania,Sichagui Elimu,dini,rangi wala kabila,ambaye atakuwa tayari tuanzisha familia,awe tayari tupime ukimwi.Mimi kwa sasa naishi na kufanya kazi Marekani(USA),si lazima awepo hapa Marekani hata akiwa Tanzania au popote pale kwangu haina shida kwa sababu tutajitahidi kwa pamoja tuonane.
Tafadhali naomba kwa aliye serious tu aniandikie kwenye email hii;

j-shawa@live.com au anitafute kwenye facebook: http://www.facebook.com/janeth.shawa
 
Ngoja nijaribu bahati yangu hapa, nipo Tanzania na nina vigezo uvitakavyo. Nichek ktk cm number +255659751370 ili tuwekane sawa!
 
Tatizo unaonekana aged ingawa inaweyekana umepunguza miaka yako
 
Haya sasa, wenye ndoto za kwenda kusafisha macho kwa Obama ndiyo wakati wenu wa kujaribu bahati zenu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Janeth, nimependa ulivyojieleza kwa ufasaha biila kufichaficha wala nini. unaonekana uko serious na hili swala. Na kweli marriage is a serious issue. I am sure atajitokeza alie serious kama wewe. Nakutakia kila la kheri!
 
ngoja nijaribu bahati yangu hapa, nipo tanzania na nina vigezo uvitakavyo. Nichek ktk cm number +255659751370 ili tuwekane sawa!

na vizuri unatumia mtandao wa tigo na huyo ndo anataka watu kama ninyi muende mkamuongezee kipato....kwea pipa mzee namba yako ikatumike vizuri
 
Dah tatizo kigezo sina....nina 27.....ila naomba nisaidie tu kupata mzungu,maana nawapenda sana wana mapenzi ya dhati.Kama yupo unayemfahamu ni PM kwa ajili ya mawasiliano zaidi.
 
Back
Top Bottom