Natafuta mchumba/mume wa kuanza naye maisha ya ndoa

Natafuta mchumba/mume wa kuanza naye maisha ya ndoa

unapocheza ndo unakopata mwenza/rafiki...
Haya walo na sifa ulizotaja watajitokeza, ila pia uzidi kudumu katika maombi (kumuomba Mungu), ili uweze kutambua aliye serious kati wale watakaojitokeza.
KILA LA HERI NDOGO WANGU
 
nimependa ulivyojieleza bila kuficha ficha,very clear....najua wengine wataku PM,Nimependa pia wadau waliochangiia comment kwa kusema Pray Hard,inaonyesha hawataki pia kuweka mzaha ktk thread yako.Nami nasema God bless you...Pray once more,"The last Drop is the heaviest one" Prayerise then Picturise" if u believe it u will receive it.
 
hahaha, we mdada una maneno kuntu!

tuheshimiane me sio mdada ..afu usipende kutaja jinsia ya mtu humu coz mwingine anajiita halima hapa kumbe john kama wewe rafadhali mkuu ...umeniudhi yani naangalia dushelele yangu na ulichoandika hapo dah! Nitake radhi
 
Haiwezekan unamiaka 28 then upo USA alaf haujaolewa lazima kunasababu maalumu umetuficha...kama sio hivyo basi kuna kitu cha siri unataka kuwafanyia watakaokukubali maana mapenz ya online wachache sana wanakuwa wakwel
 
uko US? subiri kupata mails za vijana wapenda pesa!

kuwa USA sio kuwa na hela kaka,inawezekana alienda kufanya kaz za ndan sasa yamemshinda anatafuta mbinu za kurudi..mtu mwenye pesa zake hawez kutafuta mume online,vilevile inawezekana anatuzuga tu tuponae hapahapa bongo ila ni njama za kutafuta pesa ukimkubalia atakuomba umchangie nauli na ukimpa tu ndio mwisho wa mawasiliano
 
tuheshimiane me sio mdada ..afu usipende kutaja jinsia ya mtu humu coz mwingine anajiita halima hapa kumbe john kama wewe rafadhali mkuu ...umeniudhi yani naangalia dushelele yangu na ulichoandika hapo dah! Nitake radhi

Umeitwa mdada kutokana na vijimaneno vyako vya kike. You look like mwanamke tena anayeishi uswahilini, jamaa hajakosea kukuita hivyo. NAUNGA MKONO HOJA!
 
Haiwezekan unamiaka 28 then upo USA alaf haujaolewa lazima kunasababu maalumu umetuficha...kama sio hivyo basi kuna kitu cha siri unataka kuwafanyia watakaokukubali maana mapenz ya online wachache sana wanakuwa wakwel
wewe jamaa kilaza sana,ficha upumbavu wako asubuhi hii
 
Nakuombea ufanikiwe, na wanawake kama nyie ndo safi kuliko wanao jificha ficha.Ningekuwa sijaoa ningeisha wasiliana na wewe
 
Back
Top Bottom