Duh mimi darasa la saba huwezi kunifikiria? I'm super street smart.Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea
Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
Mmmh acha hizo afunge tenaWatakuja huko PM mpaka uifunge
Hivi Degree ktk mapenzi inaongeza au kupunguza nini??Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea
Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
Kiukweli hapa ndio kasoro zao zinapojidhihirisha wadada watafuta wachumba, Nikiwa la saba ila nina shamba langu la urithi ambalo limeniwezesha kumiliki mkwanja mrefu ambao umeajiri wenye degree huko shambani siwezi kumtunza yeye na kadegree kake uchwara kalikoshindwa kumjuza kuwa ngazi fulani ya Elimu sio kigezo ktk mapenzi ya kweli???Vigezo vya kusema awe na elimu vinawafanya mkose wachumba
Ukumbuke anae hitaji kuoa anaweza kuwa darasa la wengi na akawa na uhitaji wa mke ila ukapishana kwa kuwa unataka mwenye digree
Degree bila chura=ugali bila mboga
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea
Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
Ww mbona hujafunga yakoWatakuja huko PM mpaka uifunge
Unaweza kutumia nguvu nyingi kushauri kumbe huyo ni kidume mwenzio anawachora.Kiukweli hapa ndio kasoro zao zinapojidhihirisha wadada watafuta wachumba, Nikiwa la saba ila nina shamba langu la urithi ambalo limeniwezesha kumiliki mkwanja mrefu ambao umeajiri wenye degree huko shambani siwezi kumtunza yeye na kadegree kake uchwara kalikoshindwa kumjuza kuwa ngazi fulani ya Elimu sio kigezo ktk mapenzi ya kweli???
Ukiwakuta mtaani wanaringa na nyodo kibao, lakini ukiwapa lift njiani wala hawasemi ninadegree siwezi kuendeshwa na wa la saba..!!!
nawahurumia sana hawa dada zetu, wacha waendelee kumaliza Bundle...