Natafuta Mchumba/Mume

Natafuta Mchumba/Mume

Siku hizi vigezo vya mahusiano sio upendo bali elimu ,pesa, hiyo ndoa sijui itakuwa ya namna gani.

Ila nashindwaga kuelewa ikiwa mtu ana elimu ya juu degdree anashindwaje kutambua vigezo vya mahusiano , toka lini degree au pesa ikawa ndio kigezo cha uhusiano bora wa ngazi ya ndoa
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea

Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
Kwaio kabla mahusiano inabd mkaguane vyet na raslimali??

Anyway kila la kher but atakaye jitokeza awe na uhitaj wa mwanamke sio wanawake uku upendo ukitawala kat yenu.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea

Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge

Mhmm mimi nina degree ila mshua hataki niajiriwe kaniachia nyumba na hillux black na akaunti kaniwekea bilion mbili kanambia nitafte mke.
 
Ila sijaona sababu ya wanaume kumwagika povu kias hiko!!
Mmesahau hii n nchi huru kila mtu ana maamuz yake, yey anamuitaj wa class hyo
Kama nyie mnavyotaka chura, na vtu kama hvyo...
 
Siku hizi vigezo vya mahusiano sio upendo bali elimu ,pesa, hiyo ndoa sijui itakuwa ya namna gani.

Ila nashindwaga kuelewa ikiwa mtu ana elimu ya juu degdree anashindwaje kutambua vigezo vya mahusiano ,
Cha kujiuliza huko wanako patia hizo degree si huwa wasoma mchanganyiko?why wasitafutane humo
wenye degree kuliko kuja mtaani kwa wengi wetu wauza matunda?
 
  • Thanks
Reactions: sab
Cha kujiuliza huko wanako patia hizo degree si huwa wasoma mchanganyiko?why wasitafutane humo
wenye degree kuliko kuja mtaani kwa wengi wetu wauza matunda?
Sa hihi kabisa mkuu, kweli kuna kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti, naona wengi wanakuwa wamesoma tu lakini uelewa wa mambo ni 0 tu kama mtu hajasoma kabisa
 
Sa hihi kabisa mkuu, kweli kuna kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti, naona wengi wanakuwa wamesoma tu lakini uelewa wa mambo ni 0 tu kama mtu hajasoma kabisa
Wanakera kweli, mwaka 1 mbele kuna mwaka 2,3, bado anaosoma nao, hapo mpaka 3 huku nyuma kuna 1&2 bado tu tena kuna degree 4yrs na zipo 5yrs bado wanao paa anarudia mwaka! Napo bado mmmm hizo nini sasa kama si gundu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku hizi vigezo vya mahusiano sio upendo bali elimu ,pesa, hiyo ndoa sijui itakuwa ya namna gani.

Ila nashindwaga kuelewa ikiwa mtu ana elimu ya juu degdree anashindwaje kutambua vigezo vya mahusiano , toka lini degree au pesa ikawa ndio kigezo cha uhusiano bora wa ngazi ya ndoa
Pesa muhimu.mapenzi ndoa zinaambatana na gharama zake
 
  • Thanks
Reactions: sab
Vigezo vingiii lkn hakuna hata kimoja chenye tija kwa maisha ya ndoa kwa maisha ya sasa........mapenzi nikupendana kwa dhati..kuthaminiana na kuheshimiana tu.....yakikamilika hayo bs mengine yoooote yanakaa yenyew kwny mstar..zaidi ya hapo utajikuta na ww unaungana na wale walioenda kwa makonda kupanga foleni wakat uliyataka mwenyew.........

By the way......all the best...utampata umtakaye
 
Wanakera kweli, mwaka 1 mbele kuna mwaka 2,3, bado anaosoma nao, hapo mpaka 3 huku nyuma kuna 1&2 bado tu tena kuna degree 4ys na zipo 5ys bado wanao paa anarudia mwaka! Napo bado mmmm hizo nini sasa kama si gundu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na unaweza kukuta wa hivi kama ni gari limesha tembea kilometers kibao kwenye sehemu za siri
 
Pesa muhimu.mapenzi ndoa zinaambatana na gharama zake
Endeleeni kuwa na huo mtazamo ndio maana ndoa zenu hazikawii ku dedi,

Pesa sio kigezo cha uhusiano imara au ndoa imara,
 
Back
Top Bottom