Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyew kanishangaza sana.....yani anaona degree ni big issue sana katika ndoa!!!??? Yani kivip?? Et awe amejiajir!!??? Watu wanapenda wakioana waanze wote from zero na huko ndiko chemi chemi za mapenz ya kweli zilikojificha bhana.Kwaio kabla mahusiano inabd mkaguane vyet na raslimali??
Anyway kila la kher but atakaye jitokeza awe na uhitaj wa mwanamke sio wanawake uku upendo ukitawala kat yenu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] duu jamaniNa unaweza kukuta wa hivi kama ni gari limesha tembea kilometers kibao kwenye sehemu za siri
Kweli mkuu,Mumu munataja na viwango vya pesa munavyo miliki
Ndiyo wale unakuta mtu tayari anamkewe anaanza kuvuruga ndoa za mwenzio kujibebisha tu, ngoja tutulie sie tuangalie mechi za wataka waume degreeMi mwenyew kanishangaza sana.....yani anaona degree ni big issue sana katika ndoa!!!??? Yani kivip?? Et awe amejiajir!!??? Watu wanapenda wakioana waanze wote from zero na huko ndiko chemi chemi za mapenz ya kweli zilikojificha bhana.
Utake usitake pesa inaongeza chachu ya mapenzi. Sidhani kama k-ylin alikua na mapenzi ya dhati na yule babu lakini pesa zimefanya mwanadada asione uzee. Hata huyo mpenzi wako watu watatafuna tu kama utakua huna pesa ya mahitaji yako na yakeEndeleeni kuwa na huo mtazamo ndio maana ndoa zenu hazikawii ku dedi,
Pesa sio kigezo cha uhusiano imara au ndoa imara,
Hebu elewa nachosema mkuu, pesa sio kigezo cha uhusiano bora wala ndoa imara, sijui unanielewa?????Utake usitake pesa inaongeza chachu ya mapenzi. Sidhani kama k-ylin alikua na mapenzi ya dhati na yule babu lakini pesa zimefanya mwanadada asione uzee. Hata huyo mpenzi wako watu watatafuna tu kama utakua huna pesa ya mahitaji yako na yake
Kwan ww hutaki mume Ulweso?Ndiyo wale unakuta mtu tayari anamkewe anaanza kuvuruga ndoa za mwenzio kujibebisha tu, ngoja tutulie sie tuangalie mechi za wataka waume degree
Soma vizuri nilichoandika utaelewaHebu elewa nachosema mkuu, pesa sio kigezo cha uhusiano bora wala ndoa imara, sijui unanielewa?????
Mkiamuaga kutetea ujinga mnakuwaga wabishi sana hata ukweli mnaupinga nakujifanya hamuoniSoma vizuri nilichoandika utaelewa
Haya na ukapuku wako kampende mtoto mzuri naye atakupenda sana na njaa zako na atawachukia sana wanaojiwezaMkiamuaga kutetea ujinga mnakuwaga wabishi sana hata ukweli mnaupinga nakujifanya hamuoni
Vigezo vya kusema awe na elimu vinawafanya mkose wachumba
Ukumbuke anae hitaji kuoa anaweza kuwa darasa la wengi na akawa na uhitaji wa mke ila ukapishana kwa kuwa unataka mwenye digree
Miaka ninayo 25 vingine vyote nanavyo kwa kukazia (nyumba, gari, own business but nimeajiliwa) , nijibu kabla sijaja PM.Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea
Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
Kiukweli hapa ndio kasoro zao zinapojidhihirisha wadada watafuta wachumba, Nikiwa la saba ila nina shamba langu la urithi ambalo limeniwezesha kumiliki mkwanja mrefu ambao umeajiri wenye degree huko shambani siwezi kumtunza yeye na kadegree kake uchwara kalikoshindwa kumjuza kuwa ngazi fulani ya Elimu sio kigezo ktk mapenzi ya kweli???
Ukiwakuta mtaani wanaringa na nyodo kibao, lakini ukiwapa lift njiani wala hawasemi ninadegree siwezi kuendeshwa na wa la saba..!!!
nawahurumia sana hawa dada zetu, wacha waendelee kumaliza Bundle...
ID yako ya siku zote/zamani iliyozoeleka humu ni ipi?Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea
Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
Sio sitaki nataka mme mwenye upendo kwangu si kigezo degree, awe na elimu inayomwezesha kutambua uhusiano wetuKwan ww hutaki mume Ulweso?
Vigezo vyote ninavyooo karibu pm tuyajengeKama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea
Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
Upo wapi nowKama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea
Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge