Natafuta Mchumba/Mume

Natafuta Mchumba/Mume

Kiukweli hapa ndio kasoro zao zinapojidhihirisha wadada watafuta wachumba, Nikiwa la saba ila nina shamba langu la urithi ambalo limeniwezesha kumiliki mkwanja mrefu ambao umeajiri wenye degree huko shambani siwezi kumtunza yeye na kadegree kake uchwara kalikoshindwa kumjuza kuwa ngazi fulani ya Elimu sio kigezo ktk mapenzi ya kweli???

Ukiwakuta mtaani wanaringa na nyodo kibao, lakini ukiwapa lift njiani wala hawasemi ninadegree siwezi kuendeshwa na wa la saba..!!!

nawahurumia sana hawa dada zetu, wacha waendelee kumaliza Bundle...
Ukiwa la saba tafuta wa la saba pia..
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea

Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
Duu! umri unanikosesha mke ningewahi kidogo kuzaliwa ingekuwa mbashala kabisa!
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea

Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
umeshaona contact
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea

Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
pm.tayari
 
Haya na ukapuku wako kampende mtoto mzuri naye atakupenda sana na njaa zako na atawachukia sana wanaojiweza
Naona uelwa wako hafifu juu ya haya mambo, wewe endeleo na itikadi zako tu
 
Back
Top Bottom