elishaezekiel
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 563
- 1,464
Una kazi au ndiyo unatafuta kivuli..Hitaji la moyo wangu limejibiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Degree bila chura=ugali bila mboga
Mambo ya GiLesiUnaweza kutumia nguvu nyingi kushauri kumbe huyo ni kidume mwenzio anawachora.
Kwaio kabla mahusiano inabd mkaguane vyet na raslimali??Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea
Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kwahiyo ni kavu kavu duu jamaniDegree bila chura=ugali bila mboga
Inaongeza VC atika mapenzi [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Hivi Degree ktk mapenzi inaongeza au kupunguza nini??
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea
Kwa upande wangu, mimi ni mkristu,nina degree, ni mfanya biashara
Kwa mwenye uhitaji kama wangu njoo PM tuyajenge
Cha kujiuliza huko wanako patia hizo degree si huwa wasoma mchanganyiko?why wasitafutane humoSiku hizi vigezo vya mahusiano sio upendo bali elimu ,pesa, hiyo ndoa sijui itakuwa ya namna gani.
Ila nashindwaga kuelewa ikiwa mtu ana elimu ya juu degdree anashindwaje kutambua vigezo vya mahusiano ,
Sa hihi kabisa mkuu, kweli kuna kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti, naona wengi wanakuwa wamesoma tu lakini uelewa wa mambo ni 0 tu kama mtu hajasoma kabisaCha kujiuliza huko wanako patia hizo degree si huwa wasoma mchanganyiko?why wasitafutane humo
wenye degree kuliko kuja mtaani kwa wengi wetu wauza matunda?
Wanakera kweli, mwaka 1 mbele kuna mwaka 2,3, bado anaosoma nao, hapo mpaka 3 huku nyuma kuna 1&2 bado tu tena kuna degree 4yrs na zipo 5yrs bado wanao paa anarudia mwaka! Napo bado mmmm hizo nini sasa kama si gundu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sa hihi kabisa mkuu, kweli kuna kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti, naona wengi wanakuwa wamesoma tu lakini uelewa wa mambo ni 0 tu kama mtu hajasoma kabisa
Pesa muhimu.mapenzi ndoa zinaambatana na gharama zakeSiku hizi vigezo vya mahusiano sio upendo bali elimu ,pesa, hiyo ndoa sijui itakuwa ya namna gani.
Ila nashindwaga kuelewa ikiwa mtu ana elimu ya juu degdree anashindwaje kutambua vigezo vya mahusiano , toka lini degree au pesa ikawa ndio kigezo cha uhusiano bora wa ngazi ya ndoa
Na unaweza kukuta wa hivi kama ni gari limesha tembea kilometers kibao kwenye sehemu za siriWanakera kweli, mwaka 1 mbele kuna mwaka 2,3, bado anaosoma nao, hapo mpaka 3 huku nyuma kuna 1&2 bado tu tena kuna degree 4ys na zipo 5ys bado wanao paa anarudia mwaka! Napo bado mmmm hizo nini sasa kama si gundu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Endeleeni kuwa na huo mtazamo ndio maana ndoa zenu hazikawii ku dedi,Pesa muhimu.mapenzi ndoa zinaambatana na gharama zake