Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
- Thread starter
-
- #61
niliwalenga watu wa aina yake kwenye hili andiko la abnomality test with real life reflection test intentions.Babiki wa pepe Gadiola usimkatishe tamaa ndugu yako hivo bhana.
Miaka 40 mbona umeandika ngojera nyingi sana?Habari habari naingia na kiu na haja ya moyo. Nahitaji mwanamke binti asiye na mambo mengi asiye na mtoto (asiye legend wa labor), nyonyo ngumungumu sio nyonyo lala, si kwa ubaya awe mfanyakazi, mwanafunzi wa chuo, kamaliza form six, cheti, diploma,, mhitimu. Japo ni kwa mapenzi ya kweli na dhati, ila napendekeza kuishi kama wapenzi Kwa miaka kwanzia 1-2, umate umate sina kivile, huduma zangu kwa kuanzia Kodi ya kula elfu5 kila siku, bajeti emergency Kwa mwezi elfu50, Kodi ya kula sitoi yote ntatoa kila siku, na hio elfu50 itasubiri shida mfano saloon, unashida ya kuumwa etc, naweza kumtafutia kadi ya bima.
Uelewa, Uvumilivu, Utii, unyenyekevu, na Heshima ni nguzo za kike na mahusiano.
Masister Duu, mademu wa insta, TikTok, walevi wa WhatsApp na takataka zingine sina mzuka nao.
Kila kitu iwe kiasi.
Kipato changu kawaida sana japo cha ajira ya kudumu.
Ukija inbox uliza maswali ya msingi ntajibu yote. Uje Kwa dhamira ya dhati ya Mungu kama ilivyo dhamira yangu.
Maswali yanayoakisi vigezo vya Mungu na vya kudumu. Maswali ya Ibilisi ntapotezea.
Tutaongea mengine inbox.
Location: Nipo Moro, demu akiwa wa Moro au DSM ni poa zaidi. Kwa mwenye maombi ya Mungu popote ulipo wewe ni mke wangu usiogope ongea na Mungu.
Age Simba SC. Fan mnazi shazi Shaz Scania 40.
Ubachelor ni dhambi kuu. Tuikatae Kwa nguvu zote.
Umri sibagui fungamanisha mimi 40 so jipimie mwenyewe.
Dini na makabila ni ya Mungu na huu mpango pia naukabidhi kwake.
Dharau, kejeli, matusi, masimango, kuvunja moyo nakaribisha vyote.
Kujifunza sio kwa kudekezwa tu.
Uwe huru kucomment.
Tiba ya moyo ni maudhui ya moyo wenyewe.
Email: shazwadiz@gmail.com
Nyonyo linasimama na Km zinapunguzwa. Dr. nipo hapa. Hamna kitu kinashindikana.Eeh kwa Cv hii
Tufanye tu mishe zingine...
Aisee!!! Ukikoswa koswa kwenye Maumbile unapatwa kwenye Elimu, hujakaa sawa ohooo unaambiwa nyonyo lisilale , ukigeuka huku unaambiwa ooh kilometa zimesonga....
Kizuri sh. ngapi mrembo?Nyonyo ngumu ngumu alf umpe buku 5 ya kula kila siku alafu asiwe na mambo mengi utakuwa haupo serious kizuri gharama
Na anaitoa pa dei!! Kwa usawa huu kweliπ€£π€£π€£π€£Budget yake kasema ni aftano pa dei π€£
ndio zimekuvutia ukacomment vinginevyo angepea kama mwendazakeMiaka 40 mbona umeandika ngojera nyingi sana?
Unavaaa uwiiii unavaa tena kwa kishindoHaha,
Bebee bhaana..!
He got some real swaggs kwa mtu wa miaka 40 akii'...!
Darlin sivai sare hivi karibuni mdogo wangu..!?
Mkombozi umepatikanaNyonyo linasimama na Km zinapunguzwa. Dr. nipo hapa. Hamna kitu kinashindikana.
Kumbe jf member katoa hoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah nimecheka peke yangu mpaka majirani wananidisi hapa wanajua labda dishi limeyumba...
Bwana weeeeeeππππππππKumbe jf member katoa hoja[emoji23][emoji23][emoji23]
Kibabu cha miaka 40 kinataka nyonyo ngumu ngumu mwenye nalo akuje huku mala mojaaaHabari habari naingia na kiu na haja ya moyo. Nahitaji mwanamke binti asiye na mambo mengi asiye na mtoto (asiye legend wa labor), nyonyo ngumungumu sio nyonyo lala, si kwa ubaya awe mfanyakazi, mwanafunzi wa chuo, kamaliza form six, cheti, diploma,, mhitimu. Japo ni kwa mapenzi ya kweli na dhati, ila napendekeza kuishi kama wapenzi Kwa miaka kwanzia 1-2, umate umate sina kivile, huduma zangu kwa kuanzia Kodi ya kula elfu5 kila siku, bajeti emergency Kwa mwezi elfu50, Kodi ya kula sitoi yote ntatoa kila siku, na hio elfu50 itasubiri shida mfano saloon, unashida ya kuumwa etc, naweza kumtafutia kadi ya bima.
Uelewa, Uvumilivu, Utii, unyenyekevu, na Heshima ni nguzo za kike na mahusiano.
Masister Duu, mademu wa insta, TikTok, walevi wa WhatsApp na takataka zingine sina mzuka nao.
Kila kitu iwe kiasi.
Kipato changu kawaida sana japo cha ajira ya kudumu.
Ukija inbox uliza maswali ya msingi ntajibu yote. Uje Kwa dhamira ya dhati ya Mungu kama ilivyo dhamira yangu.
Maswali yanayoakisi vigezo vya Mungu na vya kudumu. Maswali ya Ibilisi ntapotezea.
Tutaongea mengine inbox.
Location: Nipo Moro, demu akiwa wa Moro au DSM ni poa zaidi. Kwa mwenye maombi ya Mungu popote ulipo wewe ni mke wangu usiogope ongea na Mungu.
Age Simba SC. Fan mnazi shazi Shaz Scania 40.
Ubachelor ni dhambi kuu. Tuikatae Kwa nguvu zote.
Umri sibagui fungamanisha mimi 40 so jipimie mwenyewe.
Dini na makabila ni ya Mungu na huu mpango pia naukabidhi kwake.
Dharau, kejeli, matusi, masimango, kuvunja moyo nakaribisha vyote.
Kujifunza sio kwa kudekezwa tu.
Uwe huru kucomment.
Tiba ya moyo ni maudhui ya moyo wenyewe.
Email: shazwadiz@gmail.com
Wewe chizi 40 Babu huo sio ulofaKibabu cha miaka 40 kinataka nyonyo ngumu ngumu mwenye nalo akuje huku mala mojaaa
Unakataa nini mzee wewe ni namba C bwanaa!subiri pensheni yakoo dashboard inasoma km nyingi sana+jumlisha usasa ndo taflani kabisaWewe chizi 40 Babu huo sio ulofa
Wewe una mawazo mgando Sana we endelea na mentality yako ya kijinga wenzako humu humu wanapata wenza halafu Kama huna Cha kucoment sj ulale eti humu Hakuna sio kweli wengi nawajua na wameoana Kama wewe ulikosa.ni wewe nyamazaaaaaaDomo zege mtaani, kazini, vibanda umiza, kanisani, sokoni, barabarani.....huko kote hujaona mademu????
Kwa taarifa yako jf kuna wamama waliolewa,wake za watu ,single maza walioshindikana ,....