Natafuta mchumba (mwanamke)

Natafuta mchumba (mwanamke)

Habari habari naingia na kiu na haja ya moyo. Nahitaji mwanamke binti asiye na mambo mengi asiye na mtoto (asiye legend wa labor), nyonyo ngumungumu sio nyonyo lala, si kwa ubaya awe mfanyakazi, mwanafunzi wa chuo, kamaliza form six, cheti, diploma,, mhitimu. Japo ni kwa mapenzi ya kweli na dhati, ila napendekeza kuishi kama wapenzi Kwa miaka kwanzia 1-2, umate umate sina kivile, huduma zangu kwa kuanzia Kodi ya kula elfu5 kila siku, bajeti emergency Kwa mwezi elfu50, Kodi ya kula sitoi yote ntatoa kila siku, na hio elfu50 itasubiri shida mfano saloon, unashida ya kuumwa etc, naweza kumtafutia kadi ya bima.

Uelewa, Uvumilivu, Utii, unyenyekevu, na Heshima ni nguzo za kike na mahusiano.

Masister Duu, mademu wa insta, TikTok, walevi wa WhatsApp na takataka zingine sina mzuka nao.
Kila kitu iwe kiasi.

Kipato changu kawaida sana japo cha ajira ya kudumu.

Ukija inbox uliza maswali ya msingi ntajibu yote. Uje Kwa dhamira ya dhati ya Mungu kama ilivyo dhamira yangu.

Maswali yanayoakisi vigezo vya Mungu na vya kudumu. Maswali ya Ibilisi ntapotezea.

Tutaongea mengine inbox.

Location: Nipo Moro, demu akiwa wa Moro au DSM ni poa zaidi. Kwa mwenye maombi ya Mungu popote ulipo wewe ni mke wangu usiogope ongea na Mungu.

Age Simba SC. Fan mnazi shazi Shaz Scania 40.

Ubachelor ni dhambi kuu. Tuikatae Kwa nguvu zote.

Umri sibagui fungamanisha mimi 40 so jipimie mwenyewe.

Dini na makabila ni ya Mungu na huu mpango pia naukabidhi kwake.

Dharau, kejeli, matusi, masimango, kuvunja moyo nakaribisha vyote.
Kujifunza sio kwa kudekezwa tu.
Uwe huru kucomment.

Tiba ya moyo ni maudhui ya moyo wenyewe.

Email: shazwadiz@gmail.com
Miaka 40 mbona umeandika ngojera nyingi sana?
 
Eeh kwa Cv hii
Tufanye tu mishe zingine...
Aisee!!! Ukikoswa koswa kwenye Maumbile unapatwa kwenye Elimu, hujakaa sawa ohooo unaambiwa nyonyo lisilale , ukigeuka huku unaambiwa ooh kilometa zimesonga....
Nyonyo linasimama na Km zinapunguzwa. Dr. nipo hapa. Hamna kitu kinashindikana.
 
Habari habari naingia na kiu na haja ya moyo. Nahitaji mwanamke binti asiye na mambo mengi asiye na mtoto (asiye legend wa labor), nyonyo ngumungumu sio nyonyo lala, si kwa ubaya awe mfanyakazi, mwanafunzi wa chuo, kamaliza form six, cheti, diploma,, mhitimu. Japo ni kwa mapenzi ya kweli na dhati, ila napendekeza kuishi kama wapenzi Kwa miaka kwanzia 1-2, umate umate sina kivile, huduma zangu kwa kuanzia Kodi ya kula elfu5 kila siku, bajeti emergency Kwa mwezi elfu50, Kodi ya kula sitoi yote ntatoa kila siku, na hio elfu50 itasubiri shida mfano saloon, unashida ya kuumwa etc, naweza kumtafutia kadi ya bima.

Uelewa, Uvumilivu, Utii, unyenyekevu, na Heshima ni nguzo za kike na mahusiano.

Masister Duu, mademu wa insta, TikTok, walevi wa WhatsApp na takataka zingine sina mzuka nao.
Kila kitu iwe kiasi.

Kipato changu kawaida sana japo cha ajira ya kudumu.

Ukija inbox uliza maswali ya msingi ntajibu yote. Uje Kwa dhamira ya dhati ya Mungu kama ilivyo dhamira yangu.

Maswali yanayoakisi vigezo vya Mungu na vya kudumu. Maswali ya Ibilisi ntapotezea.

Tutaongea mengine inbox.

Location: Nipo Moro, demu akiwa wa Moro au DSM ni poa zaidi. Kwa mwenye maombi ya Mungu popote ulipo wewe ni mke wangu usiogope ongea na Mungu.

Age Simba SC. Fan mnazi shazi Shaz Scania 40.

Ubachelor ni dhambi kuu. Tuikatae Kwa nguvu zote.

Umri sibagui fungamanisha mimi 40 so jipimie mwenyewe.

Dini na makabila ni ya Mungu na huu mpango pia naukabidhi kwake.

Dharau, kejeli, matusi, masimango, kuvunja moyo nakaribisha vyote.
Kujifunza sio kwa kudekezwa tu.
Uwe huru kucomment.

Tiba ya moyo ni maudhui ya moyo wenyewe.

Email: shazwadiz@gmail.com
Kibabu cha miaka 40 kinataka nyonyo ngumu ngumu mwenye nalo akuje huku mala mojaaa
 
Vigezo kama Uko kiwandani unatoa Order Babu [emoji1787]
 
Ni 40 yrs inaongea aisee wee buloo,uko vizuri, uzalamoni mnajua kuongea
 
Domo zege mtaani, kazini, vibanda umiza, kanisani, sokoni, barabarani.....huko kote hujaona mademu????

Kwa taarifa yako jf kuna wamama waliolewa,wake za watu ,single maza walioshindikana ,....
Wewe una mawazo mgando Sana we endelea na mentality yako ya kijinga wenzako humu humu wanapata wenza halafu Kama huna Cha kucoment sj ulale eti humu Hakuna sio kweli wengi nawajua na wameoana Kama wewe ulikosa.ni wewe nyamazaaaaaa
 
Yaani umeponda raha kwa miaka yote hiyo, leo hii unataka kabinti ka kueleweka[emoji3]

40 yrs si haba, bado nina safari ndefu kwa kweli

Ujumbe: Kataa ndoa, ndoa ni maumivu
 
Back
Top Bottom