Natafuta Mchumba na baadae awe Mume

Natafuta Mchumba na baadae awe Mume

kwani

kwann uje kutafuta humu jf,, inamana 1)hutongozwi 2) unapenda mtu wa mtandaoni 3)unamajaribu ?
Kamwe sitaacha kuwaelisha Mbululaa kama wewe.Kama huamini jili jukwaa kwa nini unaingiaaa??acha ujingaaa.Kama Roho inakuuma Watu.kupendana humu basi andamana kwenye uongozi wa JF kuliko kuwakatisha wenzio tamaa.Kwa taarifa yako.Watu humu wanapendana ma wanaoana.Ni.kama mtaani.Bullshit!
 
hamnaa fursaa hapo,hvi bro kwa akili ya kawaida,kuna msichana asiyetongozwa?
Hata kama anatongozwa unampangiaaa.We VP.acha ujingaaa.Naenda jukwaa.la mapishi ukajifunze kupika Bagiaaaaaa.Tuachie jukwaa.letu.Umelazimishwaaaa.Nyie Ndo wachawiiii
 
we unataka fursaa kuptia kunisema mm,,ucjr utapata mzgo
 
Kamwe sitaacha kuwaelisha Mbululaa kama wewe.Kama huamini jili jukwaa kwa nini unaingiaaa??acha ujingaaa.Kama Roho inakuuma Watu.kupendana humu basi andamana kwenye uongozi wa JF kuliko kuwakatisha wenzio tamaa.Kwa taarifa yako.Watu humu wanapendana ma wanaoana.Ni.kama mtaani.Bullshit!
acha kuishi kwa nazaria
 
Stela alishuka amebeeba mtoto mgongoni,nyuma yake mchumba wake flan,toka jamiiforum..
Mfupi futi nne mjapani, nilisikitika ndani ya moyo, nikakosa la kufanya. Nilitamani nilie kikamba lakini sikijui. Ikabidi nilie kijaluo, amatima ngoa choa, Freshly.
 
Ni2mie Email yako au nicheki inbox tuongee vzr
 
Habari za leo JF,

Naitwa Stella najitokeza mbele yenu leo kutafuta mchumba na baadae Mungu akipenda basi awe mume wangu wa maisha.

Kuhusu Mimi na Ninayemhitaji

  1. Ninafanya kazi kwenye moja ya media houses hapa Tanzania
  2. I am in my late 30's
  3. Si mweupe kivile wala si mweusi niko hapo in between
  4. Nahitaji mwanaume mwenye dini yoyote sibagui
  5. Awe na umri kuanzia kama huo wa kwangu na kuendelea
  6. Situmii kilevi cha aina yoyote
  7. Mengine tutaelezana PM
Wanaume wenye nia ya dhati wanakaribishwa.
Uko.late 30's au late 20's??
Kabila...??
Weakness zako.ni zipi??
 
Habari za leo JF,

Naitwa Stella najitokeza mbele yenu leo kutafuta mchumba na baadae Mungu akipenda basi awe mume wangu wa maisha.

Kuhusu Mimi na Ninayemhitaji

  1. Ninafanya kazi kwenye moja ya media houses hapa Tanzania
  2. I am in my late 30's
  3. Si mweupe kivile wala si mweusi niko hapo in between
  4. Nahitaji mwanaume mwenye dini yoyote sibagui
  5. Awe na umri kuanzia kama huo wa kwangu na kuendelea
  6. Situmii kilevi cha aina yoyote
  7. Mengine tutaelezana PM
Wanaume wenye nia ya dhati wanakaribishwa.
Tuma picha yako pm kisha tuendelee
 
Chura yupo??? Sorry lakin...
 
Stella, pm kwangu inagoma. Trust me I'm more than serious itself. Naomba ni pm tuyajenge. I anticipate that I'm ur right choice.
mzee baba naona umekuja na kingereza chako cha ras simba, kuonyesha u serious zaidi.
 
Siku nikiacha kupiga NYETO nitakutafuta.... Mikono yangu nili ioa siku nikiipa talaka nitakutafuta.....
 
Hii kitu utajikuta unaandaa blind date na ndugu yako!! Siku ukikutana nae unajikuta unajichekesha huku unajikuna mbupu!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji13] [emoji13]
[emoji3][emoji3][emoji3]duuh
 
Back
Top Bottom