Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
Kamwe sitaacha kuwaelisha Mbululaa kama wewe.Kama huamini jili jukwaa kwa nini unaingiaaa??acha ujingaaa.Kama Roho inakuuma Watu.kupendana humu basi andamana kwenye uongozi wa JF kuliko kuwakatisha wenzio tamaa.Kwa taarifa yako.Watu humu wanapendana ma wanaoana.Ni.kama mtaani.Bullshit!kwani
kwann uje kutafuta humu jf,, inamana 1)hutongozwi 2) unapenda mtu wa mtandaoni 3)unamajaribu ?