Breki ya Kenge
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 715
- 1,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wape wazazi wako hiyo kazi wakutafutie mchumba, au nenda kanisani ongea na kiongozi atangaze, au ingia kwenye dating sites (huku ni bahati nasibu), lakini kama umetafuta jf basi utaweza Tantan, Okcupid, Tagged, Tinder na zingine nyingi angalia uwezavyo, chagua uanze na ipi, weka picha nzuri ikibidi kapige studio, elezea vitu upendavyo na usivyovipenda iwe rahisi kua connected na soulmate wako.Kotekote inawezekana naomba MUNGU. Popote akipatikana sifa na utukufu ni kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
2018 hadi leo hujapata? JF yote!! Hata huko kitaani kwako?
Hivi kwani wanaume ndiyo wamekuwa adimu hivyo au shosti uko too selective? Being too selective itakucost, utakuja kuwapata na wale fisi wenye ngozi za kondoo...shauri yako
Nakusalimia tu!!Kotekote inawezekana naomba MUNGU. Popote akipatikana sifa na utukufu ni kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani ni lazima upate mitandaoni tu ,kanisani,sokoni,club,mitaani hakuna kabisa
Ni maoni tu