Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
- Thread starter
- #21
Nimekusudia awe hana mtoto/watoto sasa.Miaka 41 +mwanaume awe hana mtoto !????ina maana unatafuta mgumba sjui tasa sjui!!Sawa wapo watakuja lakini
Tupate watoto wetu pamoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekusudia awe hana mtoto/watoto sasa.Miaka 41 +mwanaume awe hana mtoto !????ina maana unatafuta mgumba sjui tasa sjui!!Sawa wapo watakuja lakini
Samahani saana kama ana mtoto kuwa mimi sina.Umesema asiye na watoto.
Je kama ana mtoto?
Vigezo vingine kafuzu?
Insh'Allah Allah akufanyie wepesiMimi ni wanamke ninae penda kuwa na amani na furaha wakati wote.
Natafuta mchumba atakaekuwa pia anataka kuwa kwenye ndowa.
Mimi sina watoto ambae pia hana watoto.
Najitahidi kuwa kwenye misingi ya dini na ambae pia yuko kwenye missingi ya dini.
Naipenda kazi yangu na nahitaji mume wangu mtarajiwa pia awe anafanya kazi.
Naishi London, natoka Zanzibar, nafanya kazi ya ofsini tunahusika na uhasibu, nina miaka 41, nahitaji mume wangu mtarajiwa awe na miaka kuanzi 41, muislamu na awe anaishi London pia.
Kama nimekufahamu vizuri huishi London na una mtoto/watoto. Kama niko sawa nisamehe itakuwa ngumu kwangu. Ahsante saana.Yani kigezo cha umri nime √
Kigezo cha dini nime √
Kigezo cha kutokuwa na mtoto nime ×
Kuhusu makazi niko tayari kuishi London
Hapo niki add marks zangu naondoka na 80%
Yaani kama pepa nime pass.
Sasa unasemaje mchumba?
Ahsante saanaIn-shaAllah hitaji la nafsi na moyo wako litimie na liwe lenye barka!!!
Kwa kigezo cha mtoto ni ngumu we kma kweli untka mume mkubali tu la sivyo hutoweza kupta ambae hna mtoto kwa m.me mwenye umri wa 41 lbda sisi akina 20'sMimi ni mwanamke ninaependa kuwa na amani na furaha wakati wote.
Natafuta mchumba atakaekuwa pia anataka kuwa kwenye ndoa.
Mimi sina watoto ambae pia hana watoto.
Najitahidi kuwa kwenye misingi ya dini na ambae pia yuko kwenye missingi ya dini.
Naipenda kazi yangu na nahitaji mume wangu mtarajiwa pia awe anafanya kazi.
Mimi Muislamu mwemzako tena wa nyumbani kabisaaaMimi ni mwanamke ninaependa kuwa na amani na furaha wakati wote.
Natafuta mchumba atakaekuwa pia anataka kuwa kwenye ndoa.
Mimi sina watoto ambae pia hana watoto.
Najitahidi kuwa kwenye misingi ya dini na ambae pia yuko kwenye missingi ya dini.
Naipenda kazi yangu na nahitaji mume wangu mtarajiwa pia awe anafanya kazi.
Dah ngoja niwasiliane na bro, yupo London hapo ajaoa na ni Accountant kama wewe, ila hiko kigezo cha mtoto sasa hapo doh!Mimi nimejiunga kutafuta mume tu sio chengine chochote. Ahsante saana.
Nimekusikia ahsante saana.Kwa kigezo cha mtoto ni ngumu we kma kweli untka mume mkubali tu la sivyo hutoweza kupta ambae hna mtoto kwa m.me mwenye umri wa 41 lbda sisi akina 20's
Kuweka sawa hapo tunahusika na uhasibu, mimi ni ofisi meneja sio accountant/Mhasibu.Dah ngoja niwasiliane na bro, yupo London hapo ajaoa na ni Accountant kama wewe, ila hiko kigezo cha mtoto sasa hapo doh!
InshaaalahMnaotafuta mke, mama wa watu kashajieleza sana na kawa muwazi kwamba kajiunga JF kwa dhumuni moja la kusaka mume...
Hebu fanyeni mambo