Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
- Thread starter
- #401
Sawa babaNdy sawa na mwanamke mwenye umri mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa babaNdy sawa na mwanamke mwenye umri mkubwa
Ok,,Sikusema asiwe mrefu, nimesema anizidi urefu.
Walevi wenzieYes,
Ndy maana mwanamme malaya wanawake wanamgombea.
Lakini ngumu mwanamke malaya kugombewa na wanaume wa maana ,
Labda walevi wenzie.
Hakuna mwanume mwenye heshima zake ataoa mwanamke muhuni na mlevi.Walevi wenzie
Picha gani tena na tayari umeshaniona mwanzoni ??Ungetuwekea picha yako hata ukiziba sura tuone yaliyomo yamo?
Mana huku bongo kuna nguvu inakuja automatically tukiona feature fulani hivi.
KabisaHakuna mwanume mwenye heshima zake ataoa mwanamke muhuni na mlevi.
Labda mlevi mwenzie
Tuone yalowemo yamo, wewe siuna mtoto/watoto na uko Uk najuwa. Au unanionea huruma Ankol kwa mashambulizi takatifu.Ungetuwekea picha yako hata ukiziba sura tuone yaliyomo yamo?
Mana huku bongo kuna nguvu inakuja automatically tukiona feature fulani hivi.
Sasa umeruka uko Bongo, handsome siulisema uko UK?? WowUngetuwekea picha yako hata ukiziba sura tuone yaliyomo yamo?
Mana huku bongo kuna nguvu inakuja automatically tukiona feature fulani hivi.
Nguvu fulani Sawa SawaUngetuwekea picha yako hata ukiziba sura tuone yaliyomo yamo?
Mana huku bongo kuna nguvu inakuja automatically tukiona feature fulani hivi.
🙏🙏Ok,,
Basi sawa.
Kazi gani ??Mwanaume ni sawa na dereva ,,unapaswa uwe na experience ya kazi.
Mwanamke ni sawa na gari likiwa kuu kuu Kila mtu analikimbia.
Yupo uchiNdoa sio njaa ,,ila ni vazi ambalo husitiri mwili wa mwanamke au mwanume.
Mwanamke bila ndoa ni kama yupo uchi.
Unaonaje ukapata Mwanaume ambaye hana uzoefu?Kazi gani ??
Nipokee inbox plz[emoji120][emoji120]
Kwa mujibu ya vitabu vya MunguYupo uchi
Unataka picha yako iko wapi ??Ungetuwekea picha yako hata ukiziba sura tuone yaliyomo yamo?
Mana huku bongo kuna nguvu inakuja automatically tukiona feature fulani hivi.
Mungu ibariki Tanzania na midomo yao, pamoja na unafiki wao lakini sio woteNdio
&
Wow
Wewe tulia😂😂😂😂Kwa hiyo umeona wote humu ni akina dada wenye matiti?
Ndio hayo nilosema jana unafiki mwingi😂😂😂😂Kwa hiyo umeona wote humu ni akina dada wenye matiti?