Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
- Thread starter
- #361
Kwa umesikia nina jaa ya ndoaLegeza masharti mkuu,,tuje inbox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa umesikia nina jaa ya ndoaLegeza masharti mkuu,,tuje inbox
Legeza vigezo,,Kuna uzi humu unashauri ukitaka kuoa uoe mwanamke uliyemzidi 15 umri,Hhhhmmmmmm
Hyo ni avata tu mkuu,,Huyo wewe hapo juu
Na Mjilipuwe kweli kweliLegeza vigezo,,Kuna uzi humu unashauri ukitaka kuoa uoe mwanamke uliyemzidi 15 umri,
Sasa Kwa umri wako 41,,unadhani atatokea mchumba wa umri gani kwako?
Legeza masharti sisi age mate wako tujilipuwe.
Tupia tuHyo ni avata tu mkuu,,
Nikitupia picha yangu halisi hutoki hata iweje..
Ndoa sio njaa ,,ila ni vazi ambalo husitiri mwili wa mwanamke au mwanume.Kwa umesikia nina jaa ya ndoa
Hapa jukwaani?Tupia tu
Mwanaume je ??Ndoa sio njaa ,,ila ni vazi ambalo husitiri mwili wa mwanamke au mwanume.
Mwanamke bila ndoa ni kama yupo uchi.
NdioHapa jukwaani?
Ndoa sio njaa ,,ila ni vazi ambalo husitiri mwili wa mwanamke au mwanume.
Mwanamke bila ndoa ni kama yupo uchi.
Kwa kweli mnanifurahisha mnoooLegeza vigezo,,Kuna uzi humu unashauri ukitaka kuoa uoe mwanamke uliyemzidi 15 umri,
Sasa Kwa umri wako 41,,unadhani atatokea mchumba wa umri gani kwako?
Legeza masharti sisi age mate wako tujilipuwe.
Sijapata kuonaLegeza vigezo,,Kuna uzi humu unashauri ukitaka kuoa uoe mwanamke uliyemzidi 15 umri,
Sasa Kwa umri wako 41,,unadhani atatokea mchumba wa umri gani kwako?
Legeza masharti sisi age mate wako tujilipuwe.
Mwanaume umalaya ni sifa njema,Mwanaume je ??
Sifa njemaMwanaume umalaya ni sifa njema,
Ndy maana mwanaume mpenda ngono huitwa majina yote mazuri,
Kiwembe.
Kijogoo,
Mwanamke neno lake ni moja tu.
Malaya
Kicheche
Maji mara moja
Nk.
KichecheMwanaume umalaya ni sifa njema,
Ndy maana mwanaume mpenda ngono huitwa majina yote mazuri,
Kiwembe.
Kijogoo,
Mwanamke neno lake ni moja tu.
Malaya
Kicheche
Maji mara moja
Nk.
Lakini hii kicheche haimhusu mwanaume piaMwanaume umalaya ni sifa njema,
Ndy maana mwanaume mpenda ngono huitwa majina yote mazuri,
Kiwembe.
Kijogoo,
Mwanamke neno lake ni moja tu.
Malaya
Kicheche
Maji mara moja
Nk.
Eti kijogooMwanaume umalaya ni sifa njema,
Ndy maana huitwa majina yote mazuri,
Kiwembe.
Kijogoo,
Mwanamke neno lake ni moja tu.
Malaya
Kicheche
Maji mara moja
Nk.
Mwanaume ni sawa na dereva ,,unapaswa uwe na experience ya kazi.Kicheche
Mungu wanguMwanaume umalaya ni sifa njema,
Ndy maana huitwa majina yote mazuri,
Kiwembe.
Kijogoo,
Mwanamke neno lake ni moja tu.
Malaya
Kicheche
Maji mara moja
Nk.
Experience ya kaziMwanaume ni sawa na dereva ,,unapaswa uwe na experience ya kazi.
Mwanamke ni sawa na gari likiwa kuu kuu Kila mtu analikimbia.
Hao wanavuruga kiswahili,,Lakini hii kicheche hamhusu mwanaume pia
Nimeisikia hii kwenye nyimbo wa Diamond na Zuchu - ile mtasubiri saana, au sikufahamu. [emoji2362]