Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Kuna Mzee mmoja mtaani kwetu alikuwa na binti zake vigori wazuri sn,,
Mzee alikuwa mkali sn kwa binti zake.
Hakutaka Mwanaume yeyote asogee nyumbani kwake.

Getini akaandika mbwa mkali hapa

Binti walipofikisha miaka 30 bila ndoa,

Akaandika getini tunauza icream tamu hapa

unatafuta mchumba ukiwa na Miaka 41 bado una vigezo kibao?
Sasa ni muda wa kulegeza masharti.
 
Ndio
&
Wow
 
Hihihihihihi kwa kweli 🤣😂
 
Nimecheka mnooo, ahsante saaana
 
Back
Top Bottom