Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Kila Heri , Hope DM imeejaaa

Ila sisi wa landon utuwekee email tutume maombi yetu.
Unafikiria kuwa sijui London muko wengi najua fika lakini mimi sio mtu wa watu saaana.
Bizi na kazi na pia tuko mitaa tofauti ndio maana nikaweka tangazo hapa najuwa tu mtakuja. 🙏🙏
 
Kila Heri , Hope DM imeejaaa

Ila sisi wa landon utuwekee email tutume maombi yetu.
Halafu chengine nakusikilizeni tu 41, 41, 41 nini,
nikisema leo niende Barking tu hapo. Wanzibari wamejaa kibao sichukui hata muda, naolewa na 41 yangu lakini mimi sitaki mtu yoyote ndio maana ninavigezo/vikwazo vyangu. 🙏🙏
 
Halafu chengine nakusikilizeni tu 41, 41, 41 nini,
Nikisema leo niende Barking to hapo. Wanzibari wamejaa kibao sichukui hata muda, naolewa na 41 yangu lakini mimi sitaki mtu yoyote ndio maana ninavigezo/vikwazo vyangu. [emoji120][emoji120]
Lini utakuw unguja?
 
Kila Heri , Hope DM imeejaaa

Ila sisi wa landon utuwekee email tutume maombi yetu.
Halafu wanafoka mnooo mimi 41 ndio, ukiniona utafikiri 20! Ndio maana sina papara nakutizameni tu!
 
Lini utakuw unguja?
Unguja mwakani inshaaalah, huko ndio usiseme nikitua leo sikosi mume.

Halafu huku makabila mbali mbali ndio zaidi ndio moja nililoolewa nalo. Nikitaka kesho sikosi mume mmjo wapo.

Ndio maana sasa nikasema nijaribu Watanzania wezengu. Lakini muna kelele nyingi sipendi hamuna ustarabu 🙏🙏
 
Unguja mwakani inshaaalah, huko ndio usiseme nikitua leo sikosi mume.

Halafu huku makabila mbali mbali ndio zaidi ndio moja nililoowana lao. Nikitaka kesho sikosi mume mmjo wao.

Ndio maana sasa nikasema nijaribu Watanzania wezangu. Lakini muna kelele nyingi sipendi hamuna ustarabu [emoji120][emoji120]
insha'Allah natamn nikuwe rafk yako.
 
Nipo London ..
Nina miaka 42, nimeshika dini.
Ni muhasibu katika mojawapo ya shirika binafsi.
Hebu tuwasiliane mrembo nijichukulie jiko kiulaini
 
Back
Top Bottom