Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Sio vigumu kumpata alievuka 40 na hana watoto isipokuwa labda ni mtu aliejihusisha na anasa sana na kashindwa kuacha au ni mgumba

Ingawa huwalei wala kuwaona sasa unawaogopea nini watoto?
Nipo London ila ukimpata unialike kwenye ndoa nilete baraka zangu na zawadi
Itakuwa vizuri kupata zawadi yako
 
Inawezekana kupata huyo mwanaume mwenye 41+ lakini kigezo chako cha asiwe na mtoto kina weza kua kigezo kigumu sana.

kwa mwanaume anae jitambua na anae fanya kazi kwa umri huo tajwa mara chache sana kumkuta katika hali ya ukosefu wa mtoto.

Angalizo sijui utatumia uthibitisho gani kujua kama mwanaume wako hana historia ya kua na mtoto maana kudanganywa ni 99.99% ili uingie line.

Chunga sana vinginevyo ukubali tu matokeo, lolote linaweza kutokea.
Nimesha waona 🙏🙏
 
Ila dada angu Muombe Mungu kwa wingi amka usiku uswali umuombe Allah swalatul istikhara Allah anaweza kukukubalia ombi lako
Huku mitandaoni sidhani kma ni pazuri kwa kutafuta mume au mke
Kweli kabisa
 
Mimi Siishi London ila Nina uwezo wa kuishi London, japo sitamani

Sina Dini Nina Imani


Nina elimu kubwa ya Ufahamu Maishani

Amani na furaha usitegemee wakati wote, taabu na karaha hazikosi safarini

Ajuaye Hitaji lako ni Mwenyezi pekee, ingawa Moyo wako unatamani Wa Aina flani

Mtoto ni Majaaliwa japo binti Suluhu Ndio Raisi


Ukimkosa, niko pale nimekaa
Sawaaaa
 
Lakini atapata na ataolewa Mkuu....Mamdogo wangu kafunga harusi mwaka Jana akiwa na 43 .palipo na mwanamke aliyechelewa kuolewa,pana mwanaume pia aliyechelewa kuoa
Amesema jioni yeye asubuhi
 
Back
Top Bottom