Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Shida ya wanawake wa sasa wanatafuta mfanyakazi au mfanyabiashara kwenye ndoa. Badala ya kutafuta mume ndiyo maana hamuolewi.
Hata akikuoa siku akifukuzwa kazi au biashara zikiyumba utamkimbia. Mnatanguliza masilahi mbele kuliko utu.
Kumbuka ndoa ni maisha halisi. Kuna kufukuzwa kazi, biashara kuyumba au kuugua. Utaweza kuvumilia hayo ikiwa uliingia kwenye ndoa kwasababu mumeo ni muajiriwa, amejiajiri au mfanyabiashara? Maneno ya busara yamenukuliwa kutoka Kwa Wong Fei
Nyinyi mnatafuta nini ?? 😳🙄
 
Nimeona mnatafuta utu 🙄😳
 
Mimi pia nafanya kazi sitafuti maslahi mambo kusaidiana 🙏🙏
 
Ila dada angu Muombe Mungu kwa wingi amka usiku uswali umuombe Allah swalatul istikhara Allah anaweza kukukubalia ombi lako
Huku mitandaoni sidhani kma ni pazuri kwa kutafuta mume au mke
Kweli nimeona
 
40 years bado unaweka mashart? Na 20s wafanyeje? Ukifika 50 nishtue nimekaa pale
 
Back
Top Bottom