Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Huku wako makabila mbali mbali na nimeshawi kulewa na moja wapo ambao ndio ninao kutana nao nje na kazini
 
Umeshika huko wako wa Tanzania ndio na nimeshajibu tuko miji mbali mbali sio mji ninaoshi mimi.
 
Na niko bizi na kazi sio sana kuonana na watu wa nyumbani huku kuwa sikai nao karibu
 
Kama hujui maisha ya huku kaa kimpya au uliza ufahamishwe.
 
Na kama unasema nje na kazini wako pia sijakataa lakini sio Watanzania wezangu ninaokutana nao kila siku
 
Tatizo lako umri unakukera nini na mimi pia natafuta mwenye uri wa kwangu.
 
Kuolewa sio tunu nimeshaolewa nikiwa mdogo, sasa kutafuta Mtanzania mwezangu hapa imekuwa kosa
 
Halafu chengine huku tunajali saana kazi mtu hawazi kuhama tu mji anaoshi na anafanya kazi huko hata kama miji unafikika kama ana kazi yake.

Jaribu wewe basi huko kaa Dar halafu mkeo awe anaishi Arusha, uwone raha yake
Umeshampata?
 
Me nakuombea dua tu upate hitaji lako
 
bibie acha ubaguzi.kwa hyo Mimi wa vikawe kibaha haunitaki
We nipende tu tutaonana ukija likizo.miaka 41 sio ya kuchagua mume
 
Back
Top Bottom