Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Picha gani tena na tayari umeshaniona mwanzoni ??
Achana na hii ya passport size. Weka ya full body tena ukiwa umeipa kichogo kamera.
Walai hutohitaji nguvu nyingi utaona dm zinajaa fasta.
 
Achana na hii ya passport size. Weka ya full body tena ukiwa umeipa kichogo kamera.
Walai hutohitaji nguvu nyingi utaona dm zinajaa fasta.
Hili ndio tatizo la baadhi ya wanaume wanafikiri mimi niko desperate na ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…