Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Achana na London bibie, njoo hapa Boston, US tufanye stara Inshaallah. Kama utaona yafaa kuhama mji nakutaftia kazi nzuri kama au kuliko hiyo hapahapa Boston. Sifa nyengine zooote nnazo na bahati nzuri nami natamani kumpata wa nyumbani. NB: kabla ya hapo nilikuwa na mmorocco ambaye kwa bahati mbaya alipata ajali ya gari, na hivyo ametangulia. In short, umempata wa kumaliza naye maisha bibie njoo pm tuyajenge😀-Inshaallah.
 
Miaka 41 kumkuta mwanaume hana Mtoto futa hicho kigezo hutapata, labda atakudanganya tu Ili apate mseleleleko
 
Hama wewe basi kama rahisi tu, mimi nitakupa kazi kwenye kampuni yetu.
 
Pole kwa Morrocco wako kwa ajali ya gari. 🙏🙏
 
Naishi London NI Telecommunications Engineer karibu
 
Kwa miaka 41 yote uliyonayo bado unakuwa picky . Na masharti yote hayo. Si rahisi

Binaadamu hawezi kupata vyote anavyovitamani.
 
Utaishia kuliwa kimasikhara🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…