Hujachoka kusema tu, huoni kama unajithalilisha bure kushindana na mwanamke kama ( wewe sio mwanamke pia, sasa nini kinachokufanya hutuli) Hata kama bi kizee ni bibi yako au mama yako au dada yako sasa unakereka nini kila kukicha, umeshika 41, 41, 41, 41, nothing new!!😤😤
Acha ujinga na uhuni, bichwa limejaa ujuaji, njaa, shida, ushamba, uwongo na unyanyasaji, kama yako unayaweza usingekuwa na muda wa kushindana na mimi. Huna hata aibu kwa akili zako finyo zilojaa takataka na tamaa/chuki za maisha, hujui nini ufanye umeambulia kuwa muhuni. 🤣😂
Nakusihi rudi kanisani ili usiwape tabu/aibu wazee wako, (shule walishashindwa kama ulisoma hata ya bure) ukajifunze adabu, kutochukia na kutobaguwa, maisha ni mafupi mnooo!!Usije kufa siku sio zako, na pia utafunzwa huko vyema vya kuheshimu wanawake wa ndani ya familia yako na jamii pia hata kama utaambulia mwanamke wa kuowa kabla ya kuolewa wewe kwa tamaa zako.
😳🙄
Kukuonyesha ustarabu sasa kuwa wewe sio wa level yangu, hutonisikia tena kuwa sina muda na kiumbe mchafu kama wewe unajifanya mtakatifu huku unanuka unafiki na roho mbaya na kwa tarifa yako mtakatifu bado hayazaliwa jifunze, halafu bichwa ngumu katafute kwengine hunifai 🫣🫣