Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
- Thread starter
-
- #521
Kinachowakera wao ni vigezo kwa hiyo sasa wameamuwa kukeleli.Binadamu wanatofautiana, kuna wenye busara na wengine hawana. Inategemea walivyolelewa.
Hii inaitwa full dose, hapa umekomesha.Hujachoka kusema tu, huoni kama unajithalilisha bure kushindana na mwanamke kama ( wewe sio mwanamke pia, sasa nini kinachokufanya hutuli) Hata kama bi kizee ni bibi yako au mama yako au dada yako sasa unakereka nini kila kukicha, umeshika 41, 41, 41, 41, nothing new!!😤😤
Acha ujinga na uhuni, bichwa limejaa ujuaji, njaa, shida, ushamba, uwongo na unyanyasaji, kama yako unayaweza usingekuwa na muda wa kushindana na mimi. Huna hata aibu kwa akili zako finyo zilojaa takataka na tamaa/chuki za maisha, hujui nini ufanye umeambulia kuwa muhuni. 🤣😂
Nakusihi rudi kanisani ili usiwape tabu/aibu wazee wako, (shule walishashindwa kama ulisoma hata ya bure) ukajifunze adabu, kutochukia na kutobaguwa, maisha ni mafupi mnooo!!Usije kufa siku sio zako, na pia utafunzwa huko vyema vya kuheshimu wanawake wa ndani ya familia yako na jamii pia hata kama utaambulia mwanamke wa kuowa kabla ya kuolewa wewe kwa tamaa zako.
😳🙄
Kukuonyesha ustarabu sasa kuwa wewe sio wa level yangu, hutonisikia tena kuwa sina muda na kiumbe mchafu kama wewe unajifanya mtakatifu huku unanuka unafiki na roho mbaya na kwa tarifa yako mtakatifu bado hayazaliwa jifunze, halafu bichwa ngumu katafute kwengine hunifai 🫣🫣
Mimi sio msemaji lakini baadhi yao hawana adabu hata kidogo na sio sawa kabisa.Hii inaitwa full dose, hapa umekomesha.
Unampa sifa kiaina unadhani atakuvulia chupi?Hii inaitwa full dose, hapa umekomesha.
Stressi ni zao mimi hata habari sina.Dah wakuu washamvuruga mdada isee.
Dadaangu zama inbox tuweke mambo sawa kwanza huko watakupa stress tuu hawajui kama ww ni ua....njoo
Halafu mbona kafupi hivyo 🙄😳Dah wakuu washamvuruga mdada isee.
Dadaangu zama inbox tuweke mambo sawa kwanza huko watakupa stress tuu hawajui kama ww ni ua....njoo
Kanini tena kafupi jmn,kanini hako?😨Halafu mbona kafupi hivyo 🙄😳
Umepata? Kama bado, nipoMimi ni wanamke ninae penda kuwa
na amani na furaha wakati wote.
Natafuta mume, niliwahi kuolewa lakini hatukupata watoto, mimi sina watoto na ambae pia hana watoto, ili tupate watoto wetu pamoja.
Mimi silewi wala sivuti sigara n.k na
najitahidi kuwa kwenye misingi ya dini.
Na nahitaji mume ambae yuko kwenye
misingi ya dini pia havuti sigara, halewi n.k
Naipenda kazi yangu na nahitaji mume wangu mtarajiwa anaefanya kazi au biashara.
Elimu kamaliza college (huko mnaita
fomu 6) sio lazima kamaliza chuo kuwa
hata mimi pia sikumaliza lakini nitajiendeleza.
Naishi London, natoka Zanzibar, nafanya kazi ya ofisini, nina miaka 41, nahitaji mume wangu mtarajiwa kuanzi miaka 41 mwisho 50, muislamu hana mke/wake, anaishi London na sio mji mwengine wa UK, kanizidi urefu, mimi ni 5'2", vile vile Mzanzibari mwezangu. Ahsanteni saaana 🙏🙏
Tafadhali kama huna vigezo vyote nisamehe kuwa sitoweza kujibu, na kama huna uhakika tafadhali uliza kabla ya kunihukumu au kutumia lugha mbaya.
Tafadhali nisiombwe namba wala picha zaidi ya hiyo kwenye avatar yangu, tukubaliane kwanza mengine yatafuata inshaaalah kwa uwezo wake M/Mungu.
Hebu mblock...usione comments zake...watu wana hasira sijui shida nini...Toka PM kama mwaumekweli tuanike uvo wako hadharani na kwa taarifa yako wachawi ni wewe na famila yako na endeleeni kuvuta madawa kama mlivyo zoweya halafu rudi kuja kutunana wanawake.
Usikute hata kuoga kwenyewe hajaoga siku mbili, maana huku kwetu Sasa hivi ukioga ndoo kubwa unaweza hata kurogwa.Hebu mblock...usione comments zake...watu wana hasira sijui shida nini...
Ila uongozi wa jf una walakini...watu wanadhalilishwa sana humu na wapo kimyaUsikute hata kuoga kwenyewe hajaoga siku mbili, maana huku kwetu Sasa hivi ukioga ndoo kubwa unaweza hata kurogwa.
Nasikia huwa anatega tigo, kuku akija kudonoa anadakwa chap chap😂😂😂Hujuwi kama kicheche anatumia makalio kuwinda?
Ndyaana halisi ya kicheche.
Labda mods wanaenjoy au wanashiriki, huyo mdhalilishaji nimemrepoti walichofanya ni kufuta post zile za matusi tu na muhusika yuko free tu hakuna hata ban ya kumfunza adabu.Ila uongozi wa jf una walakini...watu wanadhalilishwa sana humu na wapo kimya
Sisi tunaosoma Uzi saa hizi unatuacha aje?Picha gani tena na tayari umeshaniona mwanzoni ??
🙌Labda mods wanaenjoy au wanashiriki, huyo mdhalilishaji nimemrepoti walichofanya ni kufuta post zile za matusi tu na muhusika yuko free tu hakuna hata ban ya kumfunza adabu.
Hasira ni shida na njaa zake,Hebu mblock...usione comments zake...watu wana hasira sijui shida nini...