Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
kama ww ni mpole baba wa mtoto yuko wapi ?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baba yake mtoto Yuko wapi kafariki au yuko likizo anasubiri nan ajitokeze alele mwanae[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29
dats gud
 
Anza Kudai mafao yako achana na hizi habari. Miaka ya 90 ulikuwa kutafuta mke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mafao bado mkuu. Hadi nifikishe walau 58.
Usisahau Life begins at 40.
So I have just started my life 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom