google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
kama ww ni mpole baba wa mtoto yuko wapi ?Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya kweli karibu umri awe na kuanzia 29